Siri gani ambayo huwezi kumwambia mtu yeyote kwenye maisha ya kweli lakini utaisema humu kwa kutumia anonymity? ?

Siri gani ambayo huwezi kumwambia mtu yeyote kwenye maisha ya kweli lakini utaisema humu kwa kutumia anonymity? ?

OHB11

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2017
Posts
525
Reaction score
1,155
Asalam ndugu wa jf

Kama kichwa kinavyojieleza hapo

je ni siri gani unayo ambayo huwezi wala hukuwahi kumwambia yeyote in real life

But would on JF using anonimity'''

Siri yangu mimi... sijawahi kuwapenda wenye mtazamo hasi kwangu. Japo nacheka nao
 
Ati huwezi kumwambia mtu yeyote!
na asiseme mtu yeyote siri yoyote maana tutakuwa ng'ombe badala ya kuwa watu shauliyo..
 
Ati huwezi kumwambia mtu yeyote!
na asiseme mtu yeyote siri yoyote maana tutakuwa ng'ombe badala ya kuwa watu shauliyo..
",,ambayo hujawahi kumwambie yeyote in real life mkuu

Ila unaweza kuisema humu Jf
 
Back
Top Bottom