Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa bana... Ndo maana unajiita pilsnerWeeee nani akuambie kua natumia deto.
Kwa kweli simwambii mtu
Si umfundishe kupiga gear babyNimesha lala na mwanaume ambaye nampenda ila yeye hakujua kama nampenda na sikuwahi kumwambia yeye wala mwingine yeyote.
Niliiba kalmati ndani ya kabati na San vita kwa baba taibali bila kulipa. Sikuwahi mwambia yeyote.
Najua kuendesha gari manual ila nilipokuwa na baby hajui kuendesha manual nikamwambia sijui hata kuendesha gari na hadi kesho sijawahi mwambia. Kila nikienda mahali tuonane nachukua uber au bajaji. Nikiwa kwenye misele yangu nabadili gear kama Michael Schumacher.
Kasie Matata.
Sio sawaJamaa yangu flani hapa job alinileteaga nuksi/uchuro tena nusra nifukuzwe kazi na hiyo ilikuwa baada ya kusimamshwa kazi mara kadhaa, sio mini tu na wenzangu pia. Yeye alikuwa na ukaribu/undugu na boss wetu.
Nikajisemea wacha ninkabidhi kwa Mungu juu ya dhurumati yake. Leo hii ni miezi mitatu tangu ajali ya pkpk, yupo Bugando hospital kavunjika mguu mara 2 na sehemu ya nyonga, kazini boss kashaanza kumsahau.
Sio sawa
Siri yangu mimi ni
Namba ya siri ya card ya benk
3466
Ukipata mda nenda ka-draw pessa utakavyo
Si umfundishe kupiga gear baby
hahahaNimewahi seat nisome siri za watu