Mimi niseme siri zangu mimi? Hapana siweziMkuu inamaana wewe huna siri hata moja ambayo hukuwahi kumwambia yeyote??
HeheNimewahi seat nisome siri za watu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hehe
Mkuu wewe huna siri??
Nashindwa kuelewa humu si wanatumia id fake?
sasa mbona ni waoga kwani kuna watu wanawajua humu??
Wapo weng tuSema tu mkuu
Hakuna anayekujua humu au wapo wanaokujua??
Ile ya kuibwa til.1.5..? au kuna nyengine..?Nina siri ila kuisema siwez
Dah..!! Unaniweka kweny target nseme ila roho haitak kusemaIle ya kuibwa til.1.5..? au kuna nyengine..?