Rijali jandoni
JF-Expert Member
- Apr 5, 2018
- 1,936
- 1,972
tuambiee tuisikiee na sisi...Khaaaaa
Wewe mbona umeshindwa kuiweka yakwako mkuu na wewe si kivuliMkuu wewe huna siri??
Nashindwa kuelewa humu si wanatumia id fake?
sasa mbona ni waoga kwani kuna watu wanawajua humu??
Thanks mkuu kwa kuelewa kilichoandikwaNimesha lala na mwanaume ambaye nampenda ila yeye hakujua kama nampenda na sikuwahi kumwambia yeye wala mwingine yeyote.
Niliiba kalmati ndani ya kabati na San vita kwa baba taibali bila kulipa. Sikuwahi mwambia yeyote.
Najua kuendesha gari manual ila nilipokuwa na baby hajui kuendesha manual nikamwambia sijui hata kuendesha gari na hadi kesho sijawahi mwambia. Kila nikienda mahali tuonane nachukua uber au bajaji. Nikiwa kwenye misele yangu nabadili gear kama Michael Schumacher.
Kasie Matata.
Ila ulichokileta wewe ndio kina maana mkuu",,mkuu hujalazimishwa kuchangia
Ingekua bora kukaa kimya kuliko kuleta hiyo mipasho isiyokua na maana
miss you mnooAti huwezi kumwambia mtu yeyote!
na asiseme mtu yeyote siri yoyote maana tutakuwa ng'ombe badala ya kuwa watu shauliyo..