Siri hizi za Wanawake

Boss, we siku hizi unaguna sana, kulikoni?

ha haaa haa
ukiona nimeguna ujue nimekosa cha kuongeza au sikubaliani na mada...

hii topic kuna kitu kimefichwa,sidhani wanawake wanajali saana kuhusu bei za viatu
but we both know kuna mambo womens hawawezi kusema ukweli hata kama umewashikia bunduki....
 

Nimecheka mpaka basi! Hilo suala hata guys pia... naomba isionekane ni one sided...
 
Kama yapi?
 
Huna haja ya kuogopa... Mtambuzi kasahau kutumia neno "baadhi"
AshaDii. Woga lazima uwepo honestly kuna vitu vingine ukiambiwa ukweli kuhusu yalojificha ndani yake, basi deep down nafsi inaogopa
 
Kama yapi?

usitishike kabisa
ila kumbuka wewe ulivyokuwa mtoto mdogo
ni mara ngapi uliwadanganya wazazi?????/
utagundua ni karibu mara nyingi mno....
but mwisho wa siku siyo ya kutisha kabisa,pengine ukukimbuka now
na jinsi baba au mama alivyokuweka kiti moto,unabaki unacheka tu
 
AshaDii. Woga lazima uwepo honestly kuna vitu vingine ukiambiwa ukweli kuhusu yalojificha ndani yake, basi deep down nafsi inaogopa

Mambo ya relationships/ndoa sio ya kukalili... unaenda with flow mpaka when you find your own course...
 
Umemena ukweli
 
Mambo ya relationships/ndoa sio ya kukalili... unaenda with flow mpaka when you find your own course...

tell him th truth...

he will never get the truth from a woman on these questions...

1.how many guys you had?????
2.am i the best in bed?
3.can you forgive if i cheat?
4.is my tool the right size for you?
5.............
6.......................
 
tell him th truth...

he will never get the truth from a woman on these questions...

1.how many guys you had?????
2.am i the best in bed?
3.can you forgive if i cheat?
4.is my tool the right size for you?
5.............
6.......................


Answers...
  1. Not worth remembering..
  2. YES.. That is the major reason i am with you...
  3. Only if i was not around when you did it...
  4. Of coz - The perfect fit....
  5. ........
 
Mimi nina rafiki yangu best kwenye kununua viwalo ni extravagant wakati mumewe ni bonge la bahili na mnoko. Mumewe ana kazi nzuri ni boss kwa hiyo huwezi sema ni masikini ila bahili na anaspend kwenye mambo ya maana tu. Mkewe akinunua kitu ananambia NK hiki kitu ni sh kadhaa ila hubby namdanganya maana ataniua. Well pesa ni yake mwanamke lakini mume wake hapendi ujinga.

What I can say ni kuwa kama mwanaume anakuwa critical akiambiwa true price na wife basi jua next time and other times mke atakudanganya tu ili ukome. Wake zenu uongo mnawafundisha wenyewe

Hii theory ina apply hata kwenye malezi ya watoto. Mtoto akikwambia ukweli kuwa amekosea ukweli wake unamponza anapata kichapo; unadhani next time atasema; labda kama hana akili.
 

Nadhani hii taarifa umeisoma na kuielewa tofauti kidogo....! Maana hiyo 20% haiendi hivyo, bali ni kwamba bei atakayokutajia mwanamke kuwa ndio kalipia basi ujue thamani halisi ni hiyo bei pamoja na 20%...! Yaani kama atakuambia amenunua kiatu kwa sh. 8,000/= basi ujue thamani halisi ya kiatu hicho ni sh.10,000/=.....! Na huaminiwa kuwa hiyo 20% hufidiwa na mitongozo kama vile; smilling, konyezo, nk...!
 
mhhhhhhhhh

huyo mwanamke cjui wa wapi kwa kweli, mie ninunulie kitu laki niseme elfu 8 ntakuwa na wazimu....yaani badala niseme laki mbili na kuendelea ili nionewe huruma cku za mbele nikisema nimeishiwa nieleweke, hahahaha may b kichaga zaidi.
 
Uthibitisho juu ya hili

Kama ni mtazamo wako kwa uliemuona sawa

Lakini kuseme WANAWEKE, kwa ujumla HAWALINGANI ktk hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…