suaver_boy
New Member
- Jan 15, 2018
- 1
- 0
Mwenye ideas na online business km viewing add and earn , geopol n.k anipe elimu mara moja. msaada jamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ipoje hiyoooIla ripple anajulkana na yupo verified,tatizo bitcoin owner/satosh.
Crypto ni nzur SANAAAAAAA,kwa coin nyengne mbali na BTC
CjakupataMkuu ipoje hiyooo
Naulizia hyo CryptoCjakupata
Ni nzuri karibu ujifunze zaidi njoo pmNaulizia hyo Crypto
Mkuu nipe maujuziNi nzuri karibu ujifunze zaidi njoo pm
Ni Nzuri....kwanza ili ufaham crypto currency download app ya investing.com then utaona values,news ,Calender's za pesa mbalimbali dunian,na kukupa uwezo WA kuanza kutrade ....HAPA UTAPATA UFAHAM KINAGAUBAGA JINSI YA KU TRADE STOCK MARKET,FOREX,CFD,CRYPTOCURRENCIES,N.K....ACHANA NA UTAPELI WA BITCOIN ADVANTAGE.Naulizia hyo Crypto
Entrepreneur take CALCULATED RISK and not all risk.Siku zote uoga wako ndo umaskini wako any mjasiriamali sifa kubwa ni kua risk taker
Hiki ndo kitu kinanitatiza. Hivi inakuwaje utengeneze system Alafu usiwe na control over it?Hatari ya kweli hapo ni moja tu.. hacking, ambayo hutokea pia kny hizi fedha za kawaida kny mabenki.
Wanaposema nobody controls btc, maana yake NOT EVEN huyo mwanzilishi
Hawa ndio watu wa kukimbia. Yani wa kukimbia kweli kweli.[1/23, 11:16 AM] elias keesy: BITCLUB ADVANTAG
HII ni kampuni ya kimataifa inayofanya biashara ya ubadilishaji wa fedha dijitali (crypto currencies exchange)
Imelenga katika kutumia teknolojia maalumu inayowawezesha kupata faida kubwa na kugawana faida hiyo na wajasiriamali waliowekeza mitaji yao katika kampuni kwa muda wa wiki 52. Mwekezaji ataweza kutengeneza faida hadi 300% ya uwekezaji wake akiwa amekaa anagonga kahawa yake lakini client master ni 350% na client VIP ni 400%
*Tofauti ya Bitclub Advantage na kampuni nyinginezo ni:*
[emoji67][emoji264]Hakuna bidhaa za kutembeza au kuuza ndio ulipwe
[emoji51]Hakuna malipo ya kianzio (starter pack) bali pesa yote unayowekeza ni sehemu ya mtaji wako
[emoji39]Makato ya kila mwezi (monthly fee) ni chini ya 2.6% ya kifurushi chako
[emoji39]Vifurushi 9 vyenye gharama kuanzia $30 hadi $10125 hivyo kila mtu anaweza kuingia.
Kiwango cha chini cha kutoa (minimum withdraw) ni kuanzia $10 hadi $1000 kulingana na ukubwa wa kifurushi.
[emoji651]Hakuna kiwango cha mwisho cha juu (maxmum withdraw) cha kutoa fedha zako.
Kushirikisha wengine ni hiari yako
[emoji536]Huhitaji kufungua ofisi au kuacha kazi yako ya sasa.
Ili kuanza uwekezaji wako chagua kati ya vifurushi vifuatavyo:
(malipo yanayoonyeshwa ni bila kumshirikisha yeyote, iwapo utashirikisha wengine (networking) utalipwa bonus nyingi sana
[1/23, 11:16 AM] elias keesy: *Uwekezaji ktk vifurushi 9:*
_PACKAGES hapa chini bei iliyoainishwa ni pamoja na membership fee na transfer charges na pia zinaweza kubadilika kutokana na thamani ya $ kwa wakati husika:-_
*1. Client Partner – Inauzwa kwa $30 = Tsh 67,500*
Ina Points = 5
Unalipwa kwa siku = $0.28 = Tsh 630
Unalipwa kwa Wiki = $1.40 = Tsh 3150 (Jumatatu hadi Ijumaa)
Unalipwa kwa Mwezi = $6.16 = Tsh 13,860
Gharama ya uendeshaji kwa mwezi = $0.75 (Unatozwa wewe)
Faida Utakayorudishiwa kwa package hii (ROI) = 300% i.e ($75= Tsh 168,750)
*2. Client Basic - Inauzwa kwa $55 = Tsh 123,750*
Ina Points = 10
Unalipwa kwa siku = $0.56 = Tsh 1260
Unalipwa kwa Wiki= $2.80 = Tsh 6,300 (Monday to Friday)
Unalipwa kwa Mwezi= $12.32 = Tsh 27,720
Gharama ya Uendeshaji kwa Mwezi = $1.5
Faida Utakayorudishiwa kwa package hii (ROI) = 300% i.e ($150= Tsh 337,500)
*3. Client Bronze - Inauzwa kwa $110= Tsh 247,500*
Ina Points = 20 Unalipwa kwa siku = $1.35 = Tsh 3037.5
Unalipwa kwa Wiki= $6.75 = Tsh 15,185
Unalipwa kwa Mwezi = $29.70 = Tsh 66,825
Gharama ya Uendeshaji kwa Mwezi ni = $2.97
Faida Utakayorudishiwa kwa package hii (ROI) = 300%. i.e ($297= Tsh 668,250)
*4. Client Silver - Inauzwa kwa $270= Tsh 607,500*
Ina Points = 50
Unalipwa kwa siku = $3.39 = Tsh 7618.5
Unalipwa kwa Wiki= $16.93 = Tsh 38,100
Unalipwa kwa Mwezi = $74.50 = Tsh 167,625
Gharama ya uendeshaji kwa mwezi = $ 7.47
Faida Utakayorudishiwa kwa package hii ROI = 300% i.e ($747= Tsh 1,680,750)
*5. Client Gold - Inauzwa kwa $550= Tsh 1,237,500*
Ina Points = 100
Unalipwa kwa siku = $6.79 = Tsh 15,277.5
Unalipwa kwa Wiki = $33.93 = Tsh 76,342.5
Unalipwa kwa Mwezi = $149 = Tsh 335,925
Faida Utakayorudishiwa kwa package hii (ROI) = 300% i.e ($1497 = Tsh 3,368,250)
*6. Client Premium - Inauzwa kwa $1060=Tsh 2,385,000*
Ina Points = 200
Unalipwa kwa siku = $13.59 = Tsh 30,577.5
Unalipwa kwa Wiki= $67.93 =Tsh 152,842.5
Unalipwa kwa Mwezi = $298.90 = Tsh 672,525
Gharama ya uendeshaji kwa mwezi = $24.98
Faida Utakayorudishiwa kwa package hii (ROI) = 300% i.e ($2997 = Tsh 6,743,250)
*7. Client Black- Inauzwa kwa $2060= Tsh 4,635,000*
Ina Points = 400
Unalipwa kwa siku = $30.78 = Tsh 69,255
Unalipwa kwa Wiki = $153.92 = Tsh 346,320
Unalipwa kwa Mwezi= $677.26 = Tsh 1,523,835
Gharama ya Uendeshaji kwa Mwezi = $49.98.
*8. Clienté Master - Inauzwa kwa $4,999 =11,247,750*
_Points:_ *1,000 Pts*
_Daily pay:_ *$82.35*
*_=Tshs._ 185,287.5/-*
_Approximate number of payable days until the ROI is reached:_ *182.137 days*
_Membership fees:_ *$50*
_Monthly Assets:_ *$124.99*
_Transaction fees:_ *$76*
_Total+Membership:_ *$5,049*
*_=Tshs._ 11,360,250/-*
_Total+Transaction:_ *$5,125*
*_=Tshs._ 11,531,250/-*
*_ROI:_ $14,997*
*_=Tshs._ 33,743,250/-*
*9. Client VIP - Inauzwa kwa $9,999 = 22,497,750*
_Points:_ *2,000 Pts*
_Daily pay:_ *$168.3*
*_=Tshs._ 378,675/-*
_Approx number of payable days until the ROI is reached:_ *178.235 days*
_Membership fees:_ *$50*
_Monthly Assets:_ *$250*
_Transaction fees:_ *$76*
_Total+Membership:_ *$10,049*
*=Tshs. 22,610,250/-*
_Total+Transaction:_ *$10,125*
*=Tshs. 22,781,250/-*
*_ROI:_ $29,997*
*_=Tshs._ 67,493,250/-*
*_INVEST AS YOU CAN_*
[emoji123][emoji123][emoji574][emoji574][emoji574][emoji573][emoji573][emoji573][emoji553]
[1/23, 11:16 AM] elias keesy: CRYPTO-CURRENCY
Kuanzia mwaka 2009 Sarafu ya Digitali iitwayo Bitcoin ilipovumbuliwa na Satoshi Nakamoto kumekuwepo mabadiliko makubwa sana kwenye sekta ya fedha duniani!!
Sasa dunia imeingia kwenye mfumo mpya na bora zaidi wa kutuma, kupokea na kutumia fedha ujulikanao kama CryptoCurrency. CryptoCurrency ni Sarafu ya Digitali au ni Sarafu iliyojificha ambayo huwezi kuiona kwa macho (Crypto).
Crypto ni kitu kisichoweza kuonekana kirahisi, not tangible, not visible but valuable, top secret, etc!
Kama ilivyo kwa mobile money, Cryptocurrency ni fedha ya kidigitali ambayo haishikiki lakini unaweza kuitumia kwa matumizi yako ya kila siku.
Ngoja nitoe mfano wa mobile money inavyoweza kutumika kama digital money.
Umewahi kwenda sehemu ukaona wameandika lipa hapa kwa Tigopesa? Yaani kama una hela kwenye Tigopesa au Mpesa unalipia huduma au bidhaa bila kutoa sarafu au noti ( actual coins or paper note)? Unaweza Kupata chakula hotelini na ukalipia huduma hiyo bila kutoa noti mfukoni mwako!! Nk.
Umewahi kuona kwenye super markets watu wananunua bidhaa au huduma kwa kutumia master au visa cards bila kutoa fedha mfukoni?
Hivyo ndivyo Cryptocurrency itakavyofanya kazi siku zinazokuja kuanzia sasa!!
Swali, kama Mobile Money ipo, Cryptocurreny ya nini tena?
Jibu ni kwamba, Cryptocurrency ina faida nyingi naomba nitaje baadhi tu:
1. Kutuma na kupokea fedha ni bure kabisa duniani kote!!!
2. Kutuma na kupokea pesa ni kwa haraka kama unavyotuma na kupokea ujumbe wa email kwenye internet au WhatsApp na Twitter!
3. Cryptocurrency inatumika dunia nzima wakati mobile money nyingi zinatumika eneo husika tu ambapo mtandao wa simu upo. Mf MPESA
4. Mfumo wa Cryptocurrency ni madhubuti sana kwa hiyo ni ngumu sana kuibiwa (money laundering).
5. Akaunti yako ipo mikononi mwako, huna haja ya kwenda bank kuchukua fedha!!
Je, katika mfumo huu mpya wa Sarafu duniani kuna fursa yoyote ndani yake?
Jibu lake ni ndiyo
Kuna kampuni nyingi sana zipo kwenye sekta hii ya Crypto Currency zikifanya yafuatayo:
1. Exchanging digital currency with non digital currency!! Hii ni fursa kubwa sana. Changamkia
2. Trading Crypto Currency to Crypto Currency
3. Mining Crypto Currency using special software.
Kinachofanyika hapo kampuni nyingi zimewekeza kwenye technology ya kuchimbua Sarafu za kidigitali kama Bitcoins, Ethereum, nk:
Ukiwekeza kwenye kampuni hizo kadri Sarafu zinavyopatikana utapata Sarafu zako kulingana na mtaji wako uliowapatia kwenye kampuni!!
4. Become Agents for Crypto Currency to non Crypto Currency!! Hii ni fursa ya uwakala wa Sarafu ya Digitali kwa Sarafu za kawaida mfano Dollars, pounds, euro
Decentralized. System haikai kwenye server zako bali kwenye mashine za users kibao na hivyo huna access nayo.Hiki ndo kitu kinanitatiza. Hivi inakuwaje utengeneze system Alafu usiwe na control over it?
Now, who maintains the system when it's damaged?Decentralized. System haikai kwenye server zako bali kwenye mashine za users kibao na hivyo huna access nayo.
What kind of damage are you talking about in blockchain?Now, who maintains the system when it's damaged?