SIRI Iliyojificha Kwenye Bangi inayofanya Kukatazwa Matumizi Yake Nchi Nyingi Duniani hasa Afrika

Sitasahau Ile ya ngaramtoni aliyetuletea alipiga pafu Moja tu akaacha ,
Tulio kuwa tuna ipiga mwanzo mwisho tulionyesha dalili zifuatazo,
Kucheka hatari Hata kama kitu hakichekeshi na pia na kuwa na furaha sana ,nakuwa nacheza ,naimba na pia nakuwa mpole na mdadisi wa vitu.[emoji23][emoji23][emoji23],unakuta mtu anaongea kitu Cha huzuni basi najikuta naonyesha masikitiko ya hali ya juu kuliko Hata yeye.
 
For so,GOD saw this is sad generation he gave us WEED🙏
 
Manara itakua havuti bangi ndiyo maana mambo yake anayojua mwenyewe...
 
Bilashaka hii thread umeiandika ukiwa tayari umevuta mmea wa uzima
 
Hao wavuta bangi wengi ni vibaka malaya Ingekuwa inawapa utulivu wa kufikiri wasitenda uhalifu huo
 
Mleta mada umeelezea vizuri sana, na mengi uliyosema ni ya ukweli isipokuwa hayati Lucky Dube hakuwahi kutumia bangi nenda katafute historia yake umsome.

Na sio kila mvutabangi anakuwa na akili nzuri au anakuwa genius hapana sio kweli, hapo inategemea mtumiaji ile siku ya mwanzo aliyoanza kuitumia bangi alikuwa katika hali gani? Alikuwa na mawazo gani? Na alitumia kwasababu gani? Hapa ndipo panahitajika elimu kidogo.
Kama ubongo wako wa kuku nashauri usivute bangi ilimradi umevuta yatakukuta makuu.

Ngoja niwape kisa hiki [emoji116]cha mvutaBangi;

Kuna jamaa mmoja alivuta bangi maskani alivyowaka (alivyopata stimu) akarudi nyumbani kwake akamkuta mkewe amelala kifudifudi huku akiwa amevaa chupi za mikanda zile wanaziita bikini.
Basi MvutaBangi alivyoona vile akaanza kucheka kwa sauti mpaka mkewe akaamka na kumuuliza;
Mke: "mume wangu mbona unacheka kwa sauti kubwa hivyo peke yako usiku wote huu?"
MvutaBangi akajibu: "mke wangu, yaani ndio mara yangu ya kwanza kuyaona matako yamevaa kandambili...!"
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie watu mtatuua kwa kuchekaa, khaaaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…