SIRI Iliyojificha Kwenye Bangi inayofanya Kukatazwa Matumizi Yake Nchi Nyingi Duniani hasa Afrika

Chief ,what does mathew 16:43 say?
No such kind of verse in mathew 16 it only ends with verse 28
Yeah the romans cut out some parts of the bible for their own wicked intentions. I've seen remnants of the original hebrew Mathew gospel, and in the 43rd verse of the 16th chapter it reads, ''For so,GOD saw this is sad generation he gave us WEED🙏''
 
Mkuu 😆😆
 
Huu Uzi ulipaswa kuwa umeondolewa tangu siku ya kwanza. Huwezi kuhamasisha kutumia vitu ambavyo ni illegal.
 
Wavuta bangi mnajipa moyo na kujidanganya! Sijaona jina hata moja la wavumbuzi waliokuwa wavuta mibange achilia mbali watu kibao tunaowafahamu waliopata matatizo ya akili na wengine kuwa machizi kwa sababu ya bangi
Mfuatilie Albert Einstein
 
Acha uoga
Siogopi Mkuu, Jani linapigwa vita na Jamhuri kiongozi. Sasa kuanza kusifia kuwa ni zuri ni kuhamasisha Mkuu. Inaweza kuwa sahihi lakini halipaswi kuwa linazungumzwa kihivi.
 
Celebrity among us
 

Attachments

  • 1689418875786.jpg
    66.6 KB · Views: 25
  • 1689418851267.jpg
    61.4 KB · Views: 20
  • 1689418831718.jpg
    112.3 KB · Views: 27
  • 1689418725509.jpg
    54.5 KB · Views: 26
There's no authentication in this article.It is too shallow
 
Dah
 
Kuna siku nipo zangu home sina mtonyo mara simu ikaita kuchek jamaa anatafuta kibarua wa kupiga kashamba kakd kama heka hiv mi nikamwambia mwamba ngoja tukalione afu zen nikupelekee watu wuuh had shamban nikalichek frexh nikamwambia mwamba andaa mazaga kesho madogo wanatimba hapo sina mchongo na kumchana nataka kulima mimi ni aibu coz nilikuwa mtu flan hv maarufu afu mlio ukakata mwana angeona nazingua bas huyo siku ya pili nikapitia zaga kwa mwana hapo no kumwambia mtu fika chaka saminisha tena heka dah nikasema nitaweza kweli kaa kidogo wazo likanijia tafuta bangi nikaenda nunua cha buku mbili nikavuta afu nikanuia hapa nimalize kulima hili shamba bila kuchoka aisee huwez amin nimelima toka asubuh mpaka saa nane robotatu ya shamba imekata bangi ikaanza kutoka kuja kuchek sikuamin siku ya pili nampigia mwamba shamba lako limeisha jamaa alipigwa na butwaa hv umelima pekee yako kweli au kuna mizimu imekusaidia wakuu bange kitu kingine kikawaida lile shamba ilibid liishe baada ya wiki moja unusu nkpg siku mbil
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…