S Sexless JF-Expert Member Joined Mar 11, 2017 Posts 27,705 Reaction score 65,343 Dec 30, 2025 #21 Wote wote mnaompinga mleta mada hoja zenu zimekosa mashiko na mantiki. Katika kumpinga kwenu hakuna hata mmoja ameeleza kinagaubaga:- Kwanini neno KAPPA likahusishwa na kukosa kitu?
Wote wote mnaompinga mleta mada hoja zenu zimekosa mashiko na mantiki. Katika kumpinga kwenu hakuna hata mmoja ameeleza kinagaubaga:- Kwanini neno KAPPA likahusishwa na kukosa kitu?
adriz JF-Expert Member Joined Sep 2, 2017 Posts 17,595 Reaction score 39,893 Dec 30, 2025 #22 Hii ndio chai Bora hapa Jf 2025