Siri iliyopo nyuma ya mafanikio ya Mwamposa na jinsi unavyoweza kuitumia kwenye biashara yako

Seif Mselem

Senior Member
Joined
Oct 16, 2023
Posts
161
Reaction score
526
Tunasema ili uweze kufanyikiwa kwenye kitu chochote kile ni lazima uwe na

“Model ya kujirudia inayokupa MATOKEO wanayoyataka walengwa wako kila mara”

Yaani…

Lazima uwe na kitu, bidhaa, huduma au mfumo flani ambao kila ukiutumia unakupa matokeo yale ambayo walengwa wako wanayahitaji.

Mfano…

Kampuni ya Coca cola wana RECIPE moja tu ya soda ya coca ambayo ndio wanaitumia karibia Duniani kote.

Kwanini?

Kwasababu…

Ndio model (Recipe) ambayo WATUMIAJI wengi wa soda ya coca wanaipenda na kuihitaji.

Ndio sababu pia hata miaka ya 80’s walivyobadili tu hiyo model (Recipe) walipoteza wateja wengi sana.

Kwahiyo…

Ili uweze kufanyikiwa au kupata matokeo flani unayoyataka ni lazima uwe na MODEL moja ambayo kila ukiitumia itakupa matokeo yale ambayo walengwa wako wanayataka pia.

Na…

Hii haijalishi ni kwenye BIASHARA, SERIKALI, TAASISI au SHIRIKA lolote lile ni lazima uwe na hii model ili uweze kufanyikiwa.

Ndio maana Naval Ravikant aliwahi kusema…

“Startup is the SEARCH for repeatable business model”

Yaani…

Unatafuta mfumo mmoja wa bidhaa au huduma ambao WALENGWA wako wanauhitaji zaidi na ndio unaanza kuufanyia scaling.

Sasa hiki kitu kina uhusiano gani na MAFANIKO ya Mwamposa kwenye kanisa?

Unaweza Kujiuliza?

Okay… Angalia hapa

Binafsi nimeanza kumsikia Mwamposa hadi sasa ni kama mwaka 1 au 2 hivi.

Sasa swali la kujiuliza ni…

“Je muda wote huu alikuwa wapi na alikuwa anafanya nini?”

Ukiachana na hizo stori zingine za mtaani zinazosemwa, kitu Kimoja ninachoweza kukwambia ni kwamba alikuwa yupo kwenye…

“SEARCH”

Alikuwa yupo kwenye kutafuta hiyo MODEL moja ya jinsi ya kuwasaidia watu.

Alikuwa yupo kwenye kujifunza na kujaribu NJIA mbalimbali ili kuona ni ipi ingeleta matokea chanya kwa watanzania wengi.

A.K.A… WALENGWA WAKE!

Ndio sababu…

Kwa miaka yote hii ya nyuma alikuwa hajulikani kwa watanzania wengi.

Kwasababu…

Alikuwa bado hana hiyo njia ILIYOHAKIKIWA ya kuwapa watu matokeo wanayoyataka.

Kwasababu…

Kama kweli hicho anachokifanya kimekuja kwa…“BAHATI MBAYA”

(Kitu ambacho binafsi sikiamini)

Kwanini hakikuja akiwa na miaka thelathini na kimekuja akiwa na miaka 50 something?

…I hope MAJIBU Unayo!

Kwahiyo…

Naweza kusema siri ya MAFANIKIO ya Mwamposa imekuja kwa…

Kwa…

Kutafuta mfumo mmoja ambao unaleta MATOKEO chanya kwenye kikundi kidogo cha walengwa wake.

Na…

Unaupataje sasa huo mfumo?

Unaupata kwa kwenda kujifunza kutoka kwa WATU (Mentors/Gurus) ambao unawaamini na then unaanza kuujaribu kwenye kikundi kidogo cha walengwa wako.

Yaani ni kama vile alivyofanya Pep Guardiola kipindi anaanza ukocha…

Alienda Argentina kwa mzee mmoja anaitwa…

“MARCELO BIELSA”

Ambaye ndiye alimfundisha aina ya SOKA analolicheza sasa.

Na…

Baada ya hapo hakwenda moja kwa moja Barcelona A bali Alianza na Barcelona B ili kujaribu aina ya mfumo aliokuja nao.

Na…

Baada ya ku PROVE kwamba mfumo ulikuwa unaleta matokeo chanya kwenye timu ndogo ndipo alipoamua kwenda ku scale kwenye timu kubwa na yenye wachezaji wa wakubwa.

Ambayo ni…

“BARCELONA A”

Na…

Baada ya hapo the REST is history.

Na…

Kipindi hicho cha kujitenga na kelele za dunia na kujifunza ambacho watu wengi wakubwa duniani hukifanya, kitaalamu huwa kinaitwa…

“SABBATICAL PERIOD au MONK MODE”

Yaani…

Kipindi ambacho unajitenga na DUNIANI na kisha unaenda ku FOCUS kwenye maeneo ambayo una mapungufu kwaajili ya kujiboresha zaidi.

Kwahiyo hata Bulldozer alipita kwenye hiki…

Kipindi ili kutafuta MODEL ambayo ingempa MATOKEO chanya kwenye kikundi kidogo then kikundi kikubwa.

Na…

Baada ya hapo ndipo akaja BONGO huku akiwa ameandaa SYSTEM na DISTRIBUTION CHANNELS za kutosha.

Na…

System…Nikiwa na maanisha vitu vidogo vidogo vilivyounganika ili kusaidia kuleta matokeo flani.

Distribution channels… Nikiwa na maanisha njia mbalimbali za kuwafikia watu ili kuwajulisha kuwa mtu kama Mwamposa yuko duniani.

Na…

Baada ya Bulldozer kufanya hivyo…

“The REST is History”

So,

Hiyo ndio naweza kusema ni moja ya SIRI kubwa ya mafanikio ya Mwamposa.

Ambayo nikikuwekea kwenye SUMMARY fupi itakuwa kama hivi…

i). Katafuta kitu Kimoja (Model) kinacho work kwenye kikundi kidogo.

ii). Katengeneza system ambazo zita support hiyo model i.e., Teams, Websites, Network connections, Sound Connections n.k

na…

iii). Mwisho, katafuta njia ya kuwafikia watanzania na watu wengine wengi zaidi duniani i.e., Tv Channels, Mabango, Vipeperushi, Youtube channels, Word of mouth n.k

Hiyo ni kwa UPANDE wa Mwamposa.

Sasa utawezaje kutengeneza “LOLLAPALOOZA EFFECT” kwenye biashara yako wewe kama mjasiriamali?

Unaweza kujiuliza…

Okay… Angalia hapa

Kuna hizi hatua 5 nimekuandalia ili kuanza kutengeneza MATOKEO kama ya Mwamposa kwenye biashara…

i). Tafuta tatizo au changamoto unayotaka kuitatua.

Ukweli ni kwamba kitu kimoja ambacho kiko GUARANTEED kukupa pesa kwenye maisha yako ni…

“Kutatua MATATIZO ya watu”

Hakuna namna ukarahisisha MAISHA ya watu wengine na wasikulipe pesa.

Na…

Njia rahisi ya kupata tatizo la kutatua ni…

“Kutatua matatizo yako BINAFSI na matatizo ya watu wako wa karibu”

Angalia ni tatizo gani ambalo wewe MWENYEWE binafsi huwa linakunyima usingizi.

…Hilo NDILO la kuanza nalo.

Ukiweza kutatua matatizo yako mwenyewe hiyo ni ISHARA nzuri utaweza kutatua hata matatizo ya wengine pia.

Na…

Hii haijalishi ni kwenye eneo gani, Inaweza Ikawa unapata changamoto kwenye…

–Kulea mtoto wako…

–Kupunguza uzito wako…

–Kufanya sales na marketing kwenye biashara yako…

–Kupata Ajira…

–Kupata wafanyafazi wa ndani (Majumbani)…

n.k

Just tatizo lolote ulilonalo kwa sasahivi ndilo tatizo sahihi la kuanza nalo.

Kwasababu…

Hata biashara nyingi kubwa zilianza kwa FOUNDERS kutaka kutatua changamoto zao binafsi.

Mfano…

Airbnb…Ilianza kwa Brian Chesky kutaka kutatua ishu ya makazi na malazi.

Uber…Ilianza kwa Travis Kalanick kutaka kutatua ishu ya usafiri.

Skool…Ilianza kwa Sam Ovens kutaka kutatua ishu ya community.

Google ilianza katika mtindo huo pia.

Kwahiyo…

Angalia kitu ambacho kama ukikitatua kita rahisisha maisha yako kwa kiasi kikubwa.

Na…

Kwanini nimekwambia UANZE na matatizo yako binafsi?

Hii ni kwasababu…

Ukiwa una anza ni ngumu sana kujua ni TATIZO gani ambalo ukilitatua linaweza kukupatia pesa nyingi.

Ndio sababu ni…

Vizuri kuanza na matatizo yako binafsi kwasababu kuna watu wengi kama wewe wenye matatizo kama yako.

Na…

Ukweli ni kwamba…

Ni ngumu kutatua matatizo ya wengine WAKATI hata matatizo yako madogo binafsi yana kushinda.

Kwahiyo…

Anza na matatizo yako binafsi kisha ndio uje kwenye matatizo ya wengine.

ii). Tafuta model inayofanya kazi kwaajili ya hilo tatizo au changamoto maalum.

SN: Model inaweza kuwa ni kitu, mfumo, bidhaa au huduma ambayo imelenga kutatua changamoto flani.

Sasa kuna kitu kwenye PRODUCT & STARTUP development huwa kinaitwa…

“Minimum Viable Product – (MVP)”

“Ni ile bidhaa au huduma ndogo yenye vitu vya MUHIMU tu kwaajili ya kufanya na kuleta matokeo flani”

Mfano…

Ukifungua mgahawa mtaani na ukawa na vyombo, jiko, maji ya kunawa na chakula kwaajili ya wateja wako, hiyo ni…MVP!

(Hapo huna Viti, Meza, Eneo la kupikia wala Decorations zozote zile)

Yaani…

Unakuwa na vitu vya muhimu tu kwaajili ya kazi flani kufanyika.

Sasa kazi ya hii MVP ni…

Kujua vitu au hatua gani za muhimu zinahitajika ili mlengwa wako aweze kutatua changamoto yake kwa kutumia bidhaa au huduma unayoitoa.

Kwasababu…

Ukweli ni kwamba huwezi kujua kama unachokitoa kinaweza kuwasaidia walengwa wako bila kukitoa mbele yao na waanze Kukitumia.

Na…

Hili ndilo kosa nililokuwa nalifanya tangu mwanzo, nilikuwa nadhani unaweza kukaa ndani na ukaanda kitu FROM START TO FINISH kisha ukakileta sokoni kwa walengwa wako.

…HAIKUWA HIVYO!

Unahitaji feedback kutoka kwa WATEJA wako ili kuboresha bidhaa au huduma yako, na kitu utakacho kitumia kupata hizo feedbacks ni MVP uliyoitoa.

Kwahiyo…

Kimsingi kazi ya MVP ni kukupa feedback kutoka kwa walengwa wako ili uweze kuboresha bidhaa au huduma unayoitoa.

Kwahiyo…

Utapata model ya bidhaa au huduma yako kwa…

–Kuandaa MVP yako

–Unaitoa MVP yako haraka iwezekanavyo kwenda kwa walengwa wako ili upate feedback

–Unazitumia hizo FEEDBACKS ili kuboresha bidhaa au huduma yako.

SN: Feedbacks unazipata kwa kuongea na wateja wako juu ya kile wanachokiona kwenye MVP yako.

iii). Thibitisha kama hiyo model inafanya kazi – Inaleta matokeo unayoyataka na wanayoyataka?

“Biashara zote kubwa DUNIANI zilikuwa kwa word of mouth”

Kwahiyo…

Ukiona watu wameanza kuambizana juu ya kile unachokiuza hiyo ni ishara nzuri ya kuthibitisha kwamba model yako inafanya kazi.

Vile vile…

Ukiona media zinaanza kukupa AIRTIME bila wewe kuomba, hiyo pia ni ishara nzuri ya kuthibitisha kwamba model yako inafanya kazi.

Au…

Kwa wale watu wa STARTUP hiyo ni ishara kwamba umepata…

“Product Market Fit”

iv). Baada ya hapo… Tengeneza mifumo (System) kwaajili ya ku support hiyo model.

Tunasema…

“Ukishapata ramani ya nyumba (Model) inayokupa MATOKEO unayoyataka basi kilichobaki ni kuijengea msingi imara”

Na…

Kwenye biashara FOUNDATIONS huwa ni System.

Tengeneza mifumo itakayo support BIDHAA/HUDUMA unayoitoa.

Mwamposa yeye ana…

Sound connection systems, Network and Communication systems, Security systems, Financial systems n.k

Hizi systems zote ndizo zinazomsaidia yeye KUFIKISHA huduma yake kwa mamilioni ya watanzania.

Kwahiyo…

Hata wewe inabidi utengeneze systems ili ku SUPPORT kile unachotaka kukifikisha kwa walengwa wako.

Na mwisho kabisa…

v). Anza kufanya scaling ya MODEL yako ili kuwafikia watu wengi zaidi.

Huwa napenda kusema…

“Great distribution is CAPPED with poor product”

Najua hapa nitapata upinzani kwa watu wanaoamini kwenye MARKETING kama ndio moyo wa biashara.

ILA…

Ukweli ni kwamba ili uweze kufanyikiwa kwenye MARKETING lazima uwe umeweka nguvu kwenye kutengeneza na kuandaa GREAT products.

(Binafsi mimi ni DIE HARD fan wa great PRODUCTS kuliko great MARKETING)!

Na…

Ndio maana nimekupitisha kwenye msasa mdogo hapo juu wa jinsi ya kutengeneza bidhaa au huduma ambazo zitadumu sokoni.

Kwahiyo…

Kwa ufupi kwenye hii hatua ya mwisho ni UNAENDA kufanya marketing ili kufikia idadi kubwa ya walengwa wako.

Hapa ndio muda wa kuwatumia kina Mwijaku, Babalevo, Dotto Magari, Leonardo na wengine kama hao ili kuitangaza biashara yako zaidi.

Na…

Hizo ndizo hatua 5 ambazo unaweza kuzifanya ili KUTENGENEZA matokeo kama ya Mwamposa kwenye biashara.

SN: Kama utakuwa interested zaidi kujifunza kuhusu PRODUCT DEVELOPMENT basi nenda katafute video ya Y Combinator iko Youtube inaitwa…

“Michael Seibel – Building Product”

Bila shaka itakusaidia kama uko au una NDOTO za kuanzisha startup.

So,

THAT’S ALL FOR TODAY GUYS!

I hope huu ujumbe kuna MTU unamsaidia huko nje.

Nikutakie siku njema Champ. STAY SAFE!

By the way…

Kabla hujaondoka naomba unisaidie kufanya hivi vitu viwili tu samahani…

i). Naomba umu TAG rafiki yako yoyote ambaye UNGEPENDA aone makala hii na unajua kabisa ingemsaidia kwa namna moja ama nyingine kwenye kitu anachokifanya.

Na…

ii). Kama umeipenda makala hii na unaona pia na STAHILI kupata attention yako next time basi naomba uni Follow pia.

Thanks for your time, Buddy✊

SN: Huu mfano wa Mwamposa hapa hauna UHUSIANO wowote na dini wala kile anachokifanya. Nimeutumia hapa ili kufikisha hili somo la biashara hapa mwisho.

Seif Mselem
 
Mwamposa sasa ni mfanyabiashara ,ashatoka kwenye dini.

tar 13 Dec anapiga pesa tena ya MAKONDOO.

Namshauri kwenye kukanyaga mafuta asije akasababisha maafa/vifo kama ilivyotokea huko Moshi ,atumie utaratibu mzuri wa foleni na si kukimbizana na kukanyagana ,akirudia tena ujinga tena wa kutoa kafara waamini inabidi ashitakiwe kwa kesi ya mauaji.
 
Tunasema ili uweze kufanyikiwa kwenye kitu chochote kile ni lazima uwe na…

Nilitaka kushangaa moderator asiitoe
Maana ukiuliza maswali ya dini chapu yanafutwa.
 
kwenye MVP nimekuelewa sana mkuu.
Followed and subscribed
 
Mwamposa ni tapeli kama matapeli wengine tu.
 
Umeongea point sana lkn wale wa kukulana kimasihara hawawezi kukuelewa!
 
Uzi mzuri sana
Nipo napambana hapa from growth to scaling stage ni kazi sana
 
Umeeleweka sana mkuu
 
Back
Top Bottom