Prakatatumba abaabaabaa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 1,842
- 6,087
Kabla ya yote mnaonaje mechi inayofata Simba aende Sudan kucheza na Al Hilal alafu hawa jamaa wabaki hapa kucheza na Agosto?
Ngoja nikujuze, kimataifa mbinu zinatawala siyo manguvu na kukamia, wanacheza mpira wa nafasi, kuachiana nafasi ufundi unatawala.
Simba ni zaidi ya hatari endapo ukimuachia nafasi utapigwa kama ngoma, wachambuzi wamasema kwenye ile "Third zone" Simba wanashambulia kwa kaai kubwa, kwa ufupi Simba ni hatari wakiwa hawana mpira kuliko wakiwa na mpira.
Turudi huku kwenye pira kukamiana, pira uchawi pira masifa, kibwana Shomari unaweza kumuona kama Fabio, Job unaweza kudhani ni Vidic 😁😁. Kama mnabisha subiri tarehe 23 wazee wa kukamia wacheze ndiyo utajua namaanisha nini.
Endapo jana Yanga wangecheza mpira wa kiufundi huku wametulia kama simba walivyocheza leo basi wangeshinda 3+.
Ushauri
Mkienda Sudan msiende kwa kuanza pira kukimbizana mkadhani mtapata goli la haraka haraka, tulizeni bongo mnajifanya kama mna rudi nyuma halafu mnafanya mashambulizi ya kushtukiza.
Ni ushauri tu, napepea kama nayeyuka.