Siri imefichuka kampuni ya China Hesda Co. Kuuza vifaa vya kijeshi iran!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Nyaraka zilizovuja zinafichua makubaliano ya siri kati ya Hesda Co. yenye makao yake makuu China na viwanda vya MODAFL ili kuipa Iran vifaa muhimu vya makombora ya angani.

 

Attachments

  • IMG_20260428_080459_359.jpg
    119.5 KB · Views: 21
  • IMG_20260428_080459_574.jpg
    138.5 KB · Views: 22
  • IMG_20260428_080459_931.jpg
    160.1 KB · Views: 22
  • IMG_20260428_080459_366.jpg
    86 KB · Views: 24
Kumbe wananunua! Mabwana zako Israel wanapewa kwa msaada na America!
 
Mzee wa Uharo kaamua kuleta mipasho πŸ˜‚πŸ˜‚

Mabwana zako wanatafuta njia ya kukimbia vita.

Eti siri imefichukaπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Lakini si tulikubaliana bidhaa za China ni copy ambazo ni feki mbele ya bidhaa za mashoga wa marekani na Israel?

Acheni kilialia silaha feki zinamfukuzaje mtu mwenye silaha original na mwenye uzoefu wa vita?😁😁
 
Dah we jamaa una mtindio wa ubongo trust me.

Na picha yako mwenyewe na shati la kitenge umeweka profile
Wewe Mwehu kabisa hiyo picha kwenye Profile nani kakudanganya ni mimi?

Badala ya kushambulia Mada wewe unanishambulia mimi!!

Hivi wafuga Midevu na Majini nani aliyewaroga?
 
Wewe Mwehu kabisa hiyo picha kwenye Profile nani kakudanganya ni mimi?
Picha ya kwenye profile ndio inawakilisha uhalisia wako,au hujui maana ya profile photo?
Hivi wafuga Midevu nani aliyewaroga?
Mwanaume unapokejeli Ndevu inatia wasiwasi uanaume wako?
Kuna kitu hakipo sawa kwako japo hujakitambua tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…