Blockchain
JF-Expert Member
- Feb 27, 2026
- 947
- 2,669
Huyo jamaa hana akili kabisaaa, mada zake za kiwaki waki tu.. kama mtu alie katwa kichwaHashangai US kuomba haswazi wazi msaada kupambana na Iran, hashangai nchi za kiarabu anga zake kutumika na Israel kuishambulia Iran, haka kajamaa ni kanafiki kweli kweli.