Siri imefichuka kampuni ya China Hesda Co. Kuuza vifaa vya kijeshi iran!!

Wewe Mwehu kabisa hiyo picha kwenye Profile nani kakudanganya ni mimi?

Badala ya kushambulia Mada wewe unanishambulia mimi!!

Hivi wafuga Midevu na Majini nani aliyewaroga?
Unaogopa sana ndevu za wanaume? Sikwamba ndio nzuri zinakutekenya shingoni bibie! Unataka mwanaume kamili asiwe na ndevu? Awe kama juma lokole ?
 
We kenge kweli mbona huongei Israel anasaidiwe silaha na America na Europe.

Mbona huongei USA kaiba technology ya Iran ametengeneza drones kama za Iran

Sioni point ya hi thread zaidi ya ujinga tu
 
Umeandika kwa hisia sana.

Kwenye ulimwengu wa high Level geopolitics, nchi kama China hazifanyi biashara kwa siri kijinga namna hiyo.

Unajua kama China na Iran zina 25 year Strategic Cooperation agreement iliyotiwa saini tangu 2021?
 
We kenge kweli mbona huongei Israel anasaidiwe silaha na America na Europe.

Mbona huongei USA kaiba technology ya Iran ametengeneza drones kama za Iran

Sioni point ya hi thread zaidi ya ujinga tu
Hata mimi najua huwezi kupna Point maana umepandisha Kusukari na majini yako yamepanda hivyo huwezi kuona point yoyote!!
 
Write your reply...kwani kiwanda kinategeneza bidhaa ili zikae au iuze? Na dunia ni sehemu ya biashara huru sasa china kufanya biashara na iran kosa liko wapi?
Ukikua utakuja kuelewa tu!!
 
Hata mimi najua huwezi kupna Point maana umepandisha Kusukari na majini yako yamepanda hivyo huwezi kuona point yoyote!!
Sa msafisha vyoo nipe point ya hi mada kwani Iran kununua silaha ni kosa mbona hata USA ananunua silaha, Russia ananua silaha, China ananunua silaha kila nchi inanunua silaha sa we ndio unaona ajabu Iran kununua silaha
 
Siku nyingine kama majini yako yakipanda Mwite Mchungaji aje Ayakemee yakutoke.

Kwa nini ununuzi wa vifaa hivyo vya kijeshi umekuwa wa Siri?

Manunuzi ya kawaida yanajulikana lakini haya jiulize kwa nini yamekuwa siri?
 
Hivi umeshatoka Israel? maana kipindi kile ulisema upo Israel.. ulikuwa unaishi sehemu gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…