Siri imefichuka kampuni ya China Hesda Co. Kuuza vifaa vya kijeshi iran!!

Hivi umeshatoka Israel? maana kipindi kile ulisema upo Israel.. ulikuwa unaishi sehemu gani?
Bado nipo huku!! Unauliza ninaishi sehemu gani unataka kunitumia wasiojulikana?

Huku wasiojulikana hawawezi kufanya lolote maana ulinzi uko sawa sana!!! Utapoteza muda wako bure tu!!
 
Siku nyingine kama majini yako yakipanda Mwite Mchungaji aje Ayakemee yakutoke.

Kwa nini ununuzi wa vifaa hivyo vya kijeshi umekuwa wa Siri?

Manunuzi ya kawaida yanajulikana lakini haya jiulize kwa nini yamekuwa siri?
Vipi ya siri wewe umeyajua vipi kama ni ya siri navyo elewa mimi siri huwa ni ta watu wawili tu ikivuja hio sio siri as long wewe na hao wamejua vipi iwe siri.

Nikikuambia wewe ni kenge unabisha msafisha vyoo utabaki kusafisha vyoo huna akili
 
Ana matatizo ya akili, nina imani nje ya maisha ya jf huyo jamaa sio mzima.
Yeye kila mada ni udini na matusi.
Lini nimekutukana? Lini nimeanzisha Mada ya kidini?

Hivi ukiwa mfuga Midevu na Majini ni lazima uwe Muongo muongo tu?
 
Vipi ya siri wewe umeyajua vipi kama ni ya siri navyo elewa mimi siri huwa ni ta watu wawili tu ikivuja hio sio siri as long wewe ba hso wamejua vipi iwe siri.

Nikikuambia wewe ni kenge unabisha msafisha vyoo utabaki kusafisha vyoo huna akili
Acha mipasho jibu hoja!!
 

Aiseeee..... Halafu wao wanasema wametengeneza?
 
Lini nimekutukana? Lini nimeanzisha Mada ya kidini?

Hivi ukiwa mfuga Midevu na Majini ni lazima uwe Muongo muongo tu?
Kumuambia mtu ni mfuga midevu na majini si kumtukana, wewe hoja huna, ukizidiwa unaanza kuambia wenzako wamepandisha majini, wanafuga midevu... ndio maana kila mmoja hapa jf anaona una matatizo ya akili...
 
Halafu hii picha mbona kama amevaa dera? maana nilisha muambia kwanini anavaa dera, sijui ni gown hilo la mkewe..

Unahangaika na AI tu!! Ukiambiwa ukweli unasingizia nina UDINI na nimekutukana!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…