princewilly
JF-Expert Member
- Nov 30, 2017
- 259
- 528
Kaamua au kafukuzwa..!?Huyo esma naye anajikuta wa maana kumbe mpuuzi tu[emoji23][emoji23]
Yani hii familia ya Tandale ni wanafiki wa kiwango cha standard gauge.
Bora kifesi kaamua kumove on.
Mapenzi hayaingiliwii!!Huyu Kifesi anampenda zari eti kisa anapata madili ya pesa eti ndio anaona baraka,jamani penda utu pia usichamgulie mtu mwanamke wala kuingilia