Siri imefichuka kumbe kifesi amefukuzwa kazi wcb

Siri imefichuka kumbe kifesi amefukuzwa kazi wcb

princewilly

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2017
Posts
259
Reaction score
528
hatimae dada yake chibu esma platnumz amesema kuwa kifesi amefukuzwa kazi wala hajaacha kazi kasema wao wamemshindwa sembuse yeye mtu baki
IMG_20180331_154948.jpg
 
Ndo maana hata Rais Magu hapendi ushauri unaopingana na yale atakayo.

Maisha ya Dai hata siku moja hajawah tenganisha kazi na mahusiano ndo maana wachini yake hawaon tofauti yoyote,wakimsifia anachekelea,wakimshauri ndivyo sivyo anakasirika.

Ona sasa hapa esma ana cheo gani WCB mpaka awe msemaji wa sakata la kifesi,si angesubiri uongozi utoe tamko rasmi.

Waafrika ndivyo tulivyo.
 
Wanasema maskini akipata esma sijui anajionaga nani vile nahisi alipania haya maisha balaa esma hasira za kiben 10 chake kuchepuka kazimalizia kwa kifesi familia in a vituko hii kibaya kipi alichosema kifesi yeye mwenyewe diamond drama boy mambo yake yote yasiri anayaanikaga insta kwa visasi hivo nyimbo za kiba kuchezwa wasafi tv tusahau
 
20180331_145015.jpg


Regrann from @kifesi - woman and ahalf
Blaza angu chibu
hiv kweli ndio umekubali huyu mwnamke wa baraka ulopewa na Mungu akakupa na kafamilia kazuri aende.. Duh haya bana.. Akili n nywele kila. Mtu na nywele zake ..As ur good friend since day one who will never celebrate ur downfall nisopenda kuona unapotea in any way me nitaendelea tu kukumbusha.. Na kukuombea pia akili zirejee usijekumbuka shuka pamekucha.
 
Nakumbuka kitambo sana kwenye interview moja diamond aliwahi kusema kuwa hata mamanager wake alishawambia wasimuingilie kwenye mapenzi yake maana mwisho wa siku watagombana na watamuona mbaya.
Akatoa mfano anaweza gombana na mpenzi wake ukamshauri yule msichana hakufai na ni mbaya na yeye akakubari kabisa kuwa hafai na hatorudiana naye ila baada ya siku ukasikia wamerudiana utajisikia vibaya umkasirikie...
 
from @kifesi - Leo(31/03/2018) ikiwa ni siku takatifu na siku ya ibada kwangu ni siku niloamua kufnyamaamzi yatagobadili maisha yanguNimeamua rasmi kuacha kazi kama. Mpiga picha wa diamond na mwajiriwa wa wcb.. Well It’s insane to be leaving a stable job u love But that’s reality for me naacha kaz kwa mtu alokua zaid ya Rafiki kwangu naacha kaz ambayo ni ndoto ya Vijana wengi out there but to me..i see miaka yngu 4/5 ya kufanya kaz hapa inatosha niachie nafasi kwa vijana wengine nimeamua kufata moyo wangu . . ni uamzi nilokua nao karibu mwaka sasa but kama ilivo kwa waajiriwa wengi is so hard kufnya maamzi ya kuacha kazi but IN ORDER TO GROW WE NEED TO MAKE CHANGE.. Naacha kazi to persue my Dreams life ikiwamo Kujiajiri mwenyewe. Naacha kazi ili nipate muda mwingi wa kuwa flexible nitumie muda wangu mwingi ku-unleash my potential for excellence. reason ya mwisho na kubwa zaid kwangu.. Naacha hii kaz ili niwe karibu zaid na Mungu wangu kwa iman yngu kama. Mkristo nilkua nafnya kaz Katika lifestyle na mazingira ya kazi yasompendeza Mungu . . ni swala ambalo limenikosesha aman kwa miaka yote but at the end we need to choose GOD over everything.. Cfa. Umaarufu na fahari yote ya Dunia vitanifaidia nn endapo nitaukosa ufalme wa Mungu...?? Nimeamaua ku drop kila kitu i just want to have peace of mind .. do my works .. live my life and hav time with God... Ukimchagua Mungu hata hiv vingine atakuongezea najua kutakua na changamoto nyingi.. Up and downs but Mungu He knew me b4 a was born aliahid ukimchagua yeye he will open the doors atatufnya kuwa Kichwa na cyo mkia.. Mwisho nashukuru familia yote ya wcb kwa kua nami for all these yrs was great working with u.. but zaid nimshukuru Diamond kwa mda wote nlofnya nae kaz since chini mpka sasa.. Nimefnya kazi kwa mapenz.. bidii na uaminifu mkubwa Kwangu haukua boss bali rafik n nilkua rafik wa kweli kwako a will always appreciate mchango wako kwangu.. Tusameheane pale tulipowai koseana we are just humans ..hatutakua pamoja kikaz but Nina iman tutaendelea kua marafiki. God bless u.. Uzid kufika unapopenda kufika.. GOD Bless me.. God bless my next Hustles [HASHTAG]#happysabbath[/HASHTAG] Day -
Instagram
 
Back
Top Bottom