mtafuta-maisha
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 1,982
- 2,931
Katika kitu ambacho diamond kashindwa ni kutengenesha familia yake na wcb.Sasa huyo ESMA ndo nani hapo wcb?
halafu mbona hakuna baua lolote aliloandika huyo kifesi?
Nakumbuka alikuwa yupo yupo tu.na alikuwa mtu Wa kujificha ficha. Mpaka mama mtu na yeye akabadilishwa akawa anavaa na kupendezaEsma umkumbuke zari maisha yako yote, tangu kadate na bro wako ukajua hadi kuoga ulikua unapost picha insta mchafu mchafu masikini vidole ka tangawizi.....siku hizi hadi wajiita Esma platinum enzi hizo Esma wakuache ulikua wakuache kweli mchafuu
Zari alipokanyaga tu madale mambo yakabadilika Esma hadi akaijua na make upNakumbuka alikuwa yupo yupo tu.na alikuwa mtu Wa kujificha ficha. Mpaka mama mtu na yeye akabadilishwa akawa anavaa na kupendeza
Ujanja kupata sio kuwahi!Esma umkumbuke zari maisha yako yote, tangu kadate na bro wako ukajua hadi kuoga ulikua unapost picha insta mchafu mchafu masikini vidole ka tangawizi.....siku hizi hadi wajiita Esma platinum enzi hizo Esma wakuache ulikua wakuache kweli mchafuu
Yani tulikuwa hata hatumjui mpaka kapata kiben ten cha kukitunza halafu analeta shobo dundo anajikuta na yeye ni boss WCB[emoji23][emoji23]Esma umkumbuke zari maisha yako yote, tangu kadate na bro wako ukajua hadi kuoga ulikua unapost picha insta mchafu mchafu masikini vidole ka tangawizi.....siku hizi hadi wajiita Esma platinum enzi hizo Esma wakuache ulikua wakuache kweli mchafuu
Mama sabrina, unafanan na girlfriend wangu, yaan huwa nikiona picha yako moyo huwa unapasuka paaaaHuyu Kifesi anampenda zari eti kisa anapata madili ya pesa eti ndio anaona baraka,jamani penda utu pia usichamgulie mtu mwanamke wala kuingilia
Sio mfuatiliaji wa miziki hii, LAKINI nimepita hapa & nimevutiwa na maneno haya.from @kifesi - Leo(31/03/2018) ikiwa ni siku takatifu na siku ya ibada kwangu ni siku niloamua kufnyamaamzi yatagobadili maisha yanguNimeamua rasmi kuacha kazi kama. Mpiga picha wa diamond na mwajiriwa wa wcb.. Well It’s insane to be leaving a stable job u love But that’s reality for me naacha kaz kwa mtu alokua zaid ya Rafiki kwangu naacha kaz ambayo ni ndoto ya Vijana wengi out there but to me..i see miaka yngu 4/5 ya kufanya kaz hapa inatosha niachie nafasi kwa vijana wengine nimeamua kufata moyo wangu . . ni uamzi nilokua nao karibu mwaka sasa but kama ilivo kwa waajiriwa wengi is so hard kufnya maamzi ya kuacha kazi but IN ORDER TO GROW WE NEED TO MAKE CHANGE.. Naacha kazi to persue my Dreams life ikiwamo Kujiajiri mwenyewe. Naacha kazi ili nipate muda mwingi wa kuwa flexible nitumie muda wangu mwingi ku-unleash my potential for excellence. reason ya mwisho na kubwa zaid kwangu.. Naacha hii kaz ili niwe karibu zaid na Mungu wangu kwa iman yngu kama. Mkristo nilkua nafnya kaz Katika lifestyle na mazingira ya kazi yasompendeza Mungu . . ni swala ambalo limenikosesha aman kwa miaka yote but at the end we need to choose GOD over everything.. Cfa. Umaarufu na fahari yote ya Dunia vitanifaidia nn endapo nitaukosa ufalme wa Mungu...?? Nimeamaua ku drop kila kitu i just want to have peace of mind .. do my works .. live my life and hav time with God... Ukimchagua Mungu hata hiv vingine atakuongezea najua kutakua na changamoto nyingi.. Up and downs but Mungu He knew me b4 a was born aliahid ukimchagua yeye he will open the doors atatufnya kuwa Kichwa na cyo mkia.. Mwisho nashukuru familia yote ya wcb kwa kua nami for all these yrs was great working with u.. but zaid nimshukuru Diamond kwa mda wote nlofnya nae kaz since chini mpka sasa.. Nimefnya kazi kwa mapenz.. bidii na uaminifu mkubwa Kwangu haukua boss bali rafik n nilkua rafik wa kweli kwako a will always appreciate mchango wako kwangu.. Tusameheane pale tulipowai koseana we are just humans ..hatutakua pamoja kikaz but Nina iman tutaendelea kua marafiki. God bless u.. Uzid kufika unapopenda kufika.. GOD Bless me.. God bless my next Hustles [HASHTAG]#happysabbath[/HASHTAG] Day -
Haaaaah haaaah aiseee we kibokoEsma umkumbuke zari maisha yako yote, tangu kadate na bro wako ukajua hadi kuoga ulikua unapost picha insta mchafu mchafu masikini vidole ka tangawizi.....siku hizi hadi wajiita Esma platinum enzi hizo Esma wakuache ulikua wakuache kweli mchafuu
Kifesi amefukuzwa, hakuamua kumove on.Huyo esma naye anajikuta wa maana kumbe mpuuzi tu[emoji23][emoji23]
Yani hii familia ya Tandale ni wanafiki wa kiwango cha standard gauge.
Bora kifesi kaamua kumove on.