Siri imefichuka kumbe kifesi amefukuzwa kazi wcb

Siri imefichuka kumbe kifesi amefukuzwa kazi wcb

Akome yy afanye kazi ushaur akashari ndugu zake..MTU mzima tena boss wakeakifanya maamuz hata kama hakuyapenda alitakiwa aheshimu tu baas....
 
Esma umkumbuke zari maisha yako yote, tangu kadate na bro wako ukajua hadi kuoga ulikua unapost picha insta mchafu mchafu masikini vidole ka tangawizi.....siku hizi hadi wajiita Esma platinum enzi hizo Esma wakuache ulikua wakuache kweli mchafuu
 
Nakumbuka alikuwa yupo yupo tu.na alikuwa mtu Wa kujificha ficha. Mpaka mama mtu na yeye akabadilishwa akawa anavaa na kupendeza
 
Esma umkumbuke zari maisha yako yote, tangu kadate na bro wako ukajua hadi kuoga ulikua unapost picha insta mchafu mchafu masikini vidole ka tangawizi.....siku hizi hadi wajiita Esma platinum enzi hizo Esma wakuache ulikua wakuache kweli mchafuu
Ujanja kupata sio kuwahi!
 
Esma umkumbuke zari maisha yako yote, tangu kadate na bro wako ukajua hadi kuoga ulikua unapost picha insta mchafu mchafu masikini vidole ka tangawizi.....siku hizi hadi wajiita Esma platinum enzi hizo Esma wakuache ulikua wakuache kweli mchafuu
Yani tulikuwa hata hatumjui mpaka kapata kiben ten cha kukitunza halafu analeta shobo dundo anajikuta na yeye ni boss WCB[emoji23][emoji23]

Amshukuru sana Zari kamfanya hata kajua kufanya biashara akapata hata na hela za kulea kiben ten

Sent from my SM-N910T using JamiiForums mobile app
 
Sema wote wanamakosa huyo kifes alipoenda kuomba kaz hakutangaza kwenye social media yoyote leo kaacha au kafukuzwa anapeleka mitandaon ilitakiwa wamalize kiofis huko huko na huyo esma nae angekaa kimya asingeleta kihere here chake .
 
from @kifesi - Leo(31/03/2018) ikiwa ni siku takatifu na siku ya ibada kwangu ni siku niloamua kufnyamaamzi yatagobadili maisha yanguNimeamua rasmi kuacha kazi kama. Mpiga picha wa diamond na mwajiriwa wa wcb.. Well It’s insane to be leaving a stable job u love But that’s reality for me naacha kaz kwa mtu alokua zaid ya Rafiki kwangu naacha kaz ambayo ni ndoto ya Vijana wengi out there but to me..i see miaka yngu 4/5 ya kufanya kaz hapa inatosha niachie nafasi kwa vijana wengine nimeamua kufata moyo wangu . . ni uamzi nilokua nao karibu mwaka sasa but kama ilivo kwa waajiriwa wengi is so hard kufnya maamzi ya kuacha kazi but IN ORDER TO GROW WE NEED TO MAKE CHANGE.. Naacha kazi to persue my Dreams life ikiwamo Kujiajiri mwenyewe. Naacha kazi ili nipate muda mwingi wa kuwa flexible nitumie muda wangu mwingi ku-unleash my potential for excellence. reason ya mwisho na kubwa zaid kwangu.. Naacha hii kaz ili niwe karibu zaid na Mungu wangu kwa iman yngu kama. Mkristo nilkua nafnya kaz Katika lifestyle na mazingira ya kazi yasompendeza Mungu . . ni swala ambalo limenikosesha aman kwa miaka yote but at the end we need to choose GOD over everything.. Cfa. Umaarufu na fahari yote ya Dunia vitanifaidia nn endapo nitaukosa ufalme wa Mungu...?? Nimeamaua ku drop kila kitu i just want to have peace of mind .. do my works .. live my life and hav time with God... Ukimchagua Mungu hata hiv vingine atakuongezea najua kutakua na changamoto nyingi.. Up and downs but Mungu He knew me b4 a was born aliahid ukimchagua yeye he will open the doors atatufnya kuwa Kichwa na cyo mkia.. Mwisho nashukuru familia yote ya wcb kwa kua nami for all these yrs was great working with u.. but zaid nimshukuru Diamond kwa mda wote nlofnya nae kaz since chini mpka sasa.. Nimefnya kazi kwa mapenz.. bidii na uaminifu mkubwa Kwangu haukua boss bali rafik n nilkua rafik wa kweli kwako a will always appreciate mchango wako kwangu.. Tusameheane pale tulipowai koseana we are just humans ..hatutakua pamoja kikaz but Nina iman tutaendelea kua marafiki. God bless u.. Uzid kufika unapopenda kufika.. GOD Bless me.. God bless my next Hustles [HASHTAG]#happysabbath[/HASHTAG] Day -
Instagram
Sio mfuatiliaji wa miziki hii, LAKINI nimepita hapa & nimevutiwa na maneno haya.

Maneno ya hekima sana. Yesu Kristo amjalie kukua kiimani kama NIA aliyoonyesha, na aibariki kazi ya mikono yake.

Nafurahi kuona vijana tukiwaza KUTUMIKIA KUSUDI LA MUNGU zaidi.
 
Esma umkumbuke zari maisha yako yote, tangu kadate na bro wako ukajua hadi kuoga ulikua unapost picha insta mchafu mchafu masikini vidole ka tangawizi.....siku hizi hadi wajiita Esma platinum enzi hizo Esma wakuache ulikua wakuache kweli mchafuu
Haaaaah haaaah aiseee we kiboko
 
Huyo esma naye anajikuta wa maana kumbe mpuuzi tu[emoji23][emoji23]

Yani hii familia ya Tandale ni wanafiki wa kiwango cha standard gauge.

Bora kifesi kaamua kumove on.
Kifesi amefukuzwa, hakuamua kumove on.
 
Back
Top Bottom