Siri imefichuka kumbe kifesi amefukuzwa kazi wcb

Dada wa Mond limbukeni sana.

Kwanini WCB kusiwe na msemaji mkuu?
 
Ila huyu Diamond na WCB yake wamezidi sasa...
Kila kukicha ni story zao tu..!
Sikutegemea kama issue ya Kifesi itazua mijadara hivi..!
Wewe unaweza kuamuandikia boss wako kwenye mitandao kuwa unamuombea akili zimrudi???
 
Huyo esma naye anajikuta wa maana kumbe mpuuzi tu[emoji23][emoji23]

Yani hii familia ya Tandale ni wanafiki wa kiwango cha standard gauge.

Bora kifesi kaamua kumove on.
Hahahaaaaaaaaaaaaaa ati kiwango cha standard gauge hii hii ya Magu na Kagame[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Huyo esma naye anajikuta wa maana kumbe mpuuzi tu[emoji23][emoji23]

Yani hii familia ya Tandale ni wanafiki wa kiwango cha standard gauge.

Bora kifesi kaamua kumove on.
wivu utawauwa .. kwani ya zari na boss wake yalikuwa yana mhusu
 

Naomba leo wewe utuambie. Ushauri gani kwa Magu hakufuata. Mna mmezdi kuhukumu. Sasa tuambie hapa.
 
Huyo Kifesi ndio nani wadau? Na alikua anafanya kazi gani hapo wcb maana sijawahi kusikia wimbo wake
Hahahahaahaha,alikuwaga anapiga picha wasanii wa wasafi na yale mashoga ya wasafi pia!pia anajiita eti ni relationship adviser huko instagram!ngoja wadau wengine waje watamuelezea kwa kina mkuu
 
Kwani kimambi ana kazi gani kwenye chama cha.... Kwakuwa msemaji???
 
Ana sura ngumu alafu ana tabia za kidada.

Yumo humu JF, nakumbuka enzi hizo alivyoanza kazi WCB hapa ndani palikua hapatoshi, leo kwasababu ya kiherehere kafukuzwa kama nyau aliyekunywa maziwa ya mtoto njiti.

Duh nakumbuka kipindi Diamond anachomoza uyu Kifesi(H.O.D)ndio alikua msemaji wake hapa JF amempigania sana na thread zake za kukera sizizo na kichwa wala miguu ila alikomaa mpaka akawa mtu pale WCB,naona wamechokana sasa tusubiri kuona wakianikana tu hapa.
 
Kifesi katumia uhungwana kuandika barua yake ulitaka aseme kafukuzwa alafu,jamii itamchukuliaje ata alifukuzwa ametumia njia salama kujulisha uma I'll asialibu career yake uko aendako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…