Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,793
Bora kifesi kumuvuzishwa on.Bora kifesi kaamua kumove on.
To keep clear record!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora kifesi kumuvuzishwa on.Bora kifesi kaamua kumove on.
Ana sura ngumu alafu ana tabia za kidada.Kifesi mwenyewe sura ngumu
Angekuwa mstaarabu na sio mropokaji asingemchamba boss wake mitandaoni kisa tu ameachana na mzazi mwenzake.Pengine kifesi na yeye anayajua mengi.ni mstaarabu sio mropokaji
Wewe unaweza kuamuandikia boss wako kwenye mitandao kuwa unamuombea akili zimrudi???Ila huyu Diamond na WCB yake wamezidi sasa...
Kila kukicha ni story zao tu..!
Sikutegemea kama issue ya Kifesi itazua mijadara hivi..!
Nafananae wapi avatar au mwandikoMama sabrina, unafanan na girlfriend wangu, yaan huwa nikiona picha yako moyo huwa unapasuka paaaa
Hahahaaaaaaaaaaaaaa ati kiwango cha standard gauge hii hii ya Magu na Kagame[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Huyo esma naye anajikuta wa maana kumbe mpuuzi tu[emoji23][emoji23]
Yani hii familia ya Tandale ni wanafiki wa kiwango cha standard gauge.
Bora kifesi kaamua kumove on.
wivu utawauwa .. kwani ya zari na boss wake yalikuwa yana mhusuHuyo esma naye anajikuta wa maana kumbe mpuuzi tu[emoji23][emoji23]
Yani hii familia ya Tandale ni wanafiki wa kiwango cha standard gauge.
Bora kifesi kaamua kumove on.
anakurupuka ajuwe anacho andika..Kaamua au kafukuzwa..!?
Ndo maana hata Rais Magu hapendi ushauri unaopingana na yale atakayo.
Maisha ya Dai hata siku moja hajawah tenganisha kazi na mahusiano ndo maana wachini yake hawaon tofauti yoyote,wakimsifia anachekelea,wakimshauri ndivyo sivyo anakasirika.
Ona sasa hapa esma ana cheo gani WCB mpaka awe msemaji wa sakata la kifesi,si angesubiri uongozi utoe tamko rasmi.
Waafrika ndivyo tulivyo.
Hahahahaahaha,alikuwaga anapiga picha wasanii wa wasafi na yale mashoga ya wasafi pia!pia anajiita eti ni relationship adviser huko instagram!ngoja wadau wengine waje watamuelezea kwa kina mkuuHuyo Kifesi ndio nani wadau? Na alikua anafanya kazi gani hapo wcb maana sijawahi kusikia wimbo wake
Naomba leo wewe utuambie. Ushauri gani kwa Magu hakufuata. Mna mmezdi kuhukumu. Sasa tuambie hapa.
Ana sura ngumu alafu ana tabia za kidada.
Yumo humu JF, nakumbuka enzi hizo alivyoanza kazi WCB hapa ndani palikua hapatoshi, leo kwasababu ya kiherehere kafukuzwa kama nyau aliyekunywa maziwa ya mtoto njiti.
Mtu anayeweza kufanya hivyo ni yule mwenye uhakika wa SHIBE tu..!Wewe unaweza kuamuandikia boss wako kwenye mitandao kuwa unamuombea akili zimrudi???