Siri imefichuka kumbe kifesi amefukuzwa kazi wcb

Yani Zari kamtoa tongotongo halafu Leo anamnafiki.

Nikimkumbuka esma yule wa Diamond na Wema si Esma huyu wa Diamond na Zari alikuwa mshamba wa kiwango cha lami.
 
Hongera kwa kupata cheo cha msemaji wa WCB
 
WCB haiwezi kufa wallahi kila kinachotokea pale inakua habari na intrend haswa sasa inakufaje kwa mfano?? Wale jamaa wana nguvu tukubali tukatae kifesi awe kafukuzwa au kaamua ni vitu vya kawaida hatakua wa kwanza wala wa mwisho.
 
Unaongea na simu au
 
Huyu Kifesi anampenda zari eti kisa anapata madili ya pesa eti ndio anaona baraka,jamani penda utu pia usichamgulie mtu mwanamke wala kuingilia
Kimbelembele.Eti anataka kumpendeza Mungu...hivi uzinzi unampendeza Mungu?
 
mpiga picha tu kufukuzwa kazi mashabiki wa kiba100 matapishi yanawatoka .. kwani kisura alikua na faida gani pale wcb?
 
Sasa huyo ESMA ndo nani hapo wcb?
halafu mbona hakuna baua lolote aliloandika huyo kifesi?
Hakuajiriwa kwa Barua Mkuu,
Mwiba hutokea pale ulipoingilia always
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…