Siri imefichuka kumbe kifesi amefukuzwa kazi wcb

Siri imefichuka kumbe kifesi amefukuzwa kazi wcb

Enzi hizo haujui wanja hata kiben ten hakitulii nyumbani kila siku kiko na wema utadhani kivulana kilichobalehe kumbe mme na familia, sikuwahi kumuona hata akitoka na mkewe kila mtoko yupo na wema, sahivi Esma anavihela na anaoga wanashona vitenge sare na kwenye shughuli wapo wote mambo niiiiii motooo
Yani Zari kamtoa tongotongo halafu Leo anamnafiki.

Nikimkumbuka esma yule wa Diamond na Wema si Esma huyu wa Diamond na Zari alikuwa mshamba wa kiwango cha lami.
 
Ahahaaaah...
Yaani WCB waone aibu Kifesi kuondoka..!?
Huyo Kifesi anaihitaji WCB kuliko WCB inavyomuhitaji..!
Kama kakutuma au ndio wewe mwenyewe Kifesi kaa kimya tu,usizidi kuchekesha watu..!

Wewe unaanzaje kumwambia boss wako hana akili kisa kakubali kuachwa na mzazi mwenzie,tena haumwambii uso kwa uso,unamwambia kwa kupost Instagram..!
Fanya kazi mahusiano/ndoa ya boss wako sio sehemu ya kazi yako..!
Hongera kwa kupata cheo cha msemaji wa WCB
 
WCB haiwezi kufa wallahi kila kinachotokea pale inakua habari na intrend haswa sasa inakufaje kwa mfano?? Wale jamaa wana nguvu tukubali tukatae kifesi awe kafukuzwa au kaamua ni vitu vya kawaida hatakua wa kwanza wala wa mwisho.
 
KWATAARIFAAYAKOO ALIEKUTUMA KACHEMKA DOGO KASAMBAZA MSG ZA KUACHA KAZI HATA CHIBU AELEWI..ALIPOMSHTUA DOGO AKAMPA MAKAVUU WAKASHINDWA KUELEWANA ..NDIPO AIBU ZA KUONDOKA ZIKAWASHTUA WANASAMBAZA KAFUKUZWA KAZI. SOMA ALICHOANDIKA DOGOO KUNAMAMBO MAKUBWA YANAYOMZUIA KWENDA MBINGUNI AKAONA HAONI FAIDA KUFURAHIA MAISHA YA DUNIAN ATA UWE TAJIRI NA MBINGU UKAIKOSAA..HUYU N KIFU

MWACHENI DOGO KAONA NURU MBINGU IIMEMKUBALI NAHAKIKA HATOOENDA JEHANUM KAMWE
Unaongea na simu au
 
mpiga picha tu kufukuzwa kazi mashabiki wa kiba100 matapishi yanawatoka .. kwani kisura alikua na faida gani pale wcb?
 
Sasa huyo ESMA ndo nani hapo wcb?
halafu mbona hakuna baua lolote aliloandika huyo kifesi?
Hakuajiriwa kwa Barua Mkuu,
Mwiba hutokea pale ulipoingilia always
 
Back
Top Bottom