Siri imefichuka kumbe kifesi amefukuzwa kazi wcb

Siri imefichuka kumbe kifesi amefukuzwa kazi wcb

Esma umkumbuke zari maisha yako yote, tangu kadate na bro wako ukajua hadi kuoga ulikua unapost picha insta mchafu mchafu masikini vidole ka tangawizi.....siku hizi hadi wajiita Esma platinum enzi hizo Esma wakuache ulikua wakuache kweli mchafuu
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Esma hajui kucheza na media.. Ni mara nyingi anatoa exclusives.. Nadhani ana mihemko sana.. Mwingine mwenye tabia hiyo ni Rich Mavoko!
 
Sio mfuatiliaji wa miziki hii, LAKINI nimepita hapa & nimevutiwa na maneno haya.

Maneno ya hekima sana. Yesu Kristo amjalie kukua kiimani kama NIA aliyoonyesha, na aibariki kazi ya mikono yake.

Nafurahi kuona vijana tukiwaza KUTUMIKIA KUSUDI LA MUNGU zaidi.
Kristuuuu...
Umenikumbusha mbali sana..
Kipind nasoma KUJUA KUSUDI LA MUNGJ KUNIUMBA NA KUJIFAHAMU MIMI NI NANI..

Yesu rafiki yangu.
 
Ndo maana hata Rais Magu hapendi ushauri unaopingana na yale atakayo.

Maisha ya Dai hata siku moja hajawah tenganisha kazi na mahusiano ndo maana wachini yake hawaon tofauti yoyote,wakimsifia anachekelea,wakimshauri ndivyo sivyo anakasirika.

Ona sasa hapa esma ana cheo gani WCB mpaka awe msemaji wa sakata la kifesi,si angesubiri uongozi utoe tamko rasmi.

Waafrika ndivyo tulivyo.
Huyo dada yke ni mwarabu toleo gani mana hpo naona mwarabu wa maganzo
 
Esma hajui kucheza na media.. Ni mara nyingi anatoa exclusives.. Nadhani ana mihemko sana.. Mwingine mwenye tabia hiyo ni Rich Mavoko!
Tatizo waswahili original huwa hawataki kumwachia mtu aweze kuanza maisha mapya vizuri kwa kumlinda..huku kwenye ajira huwa tunaharibu lakini ukiacha kazi hata kama hukupenda lakini wanakupa recommendation ya uende kwa amani
 
Esma hajui kucheza na media.. Ni mara nyingi anatoa exclusives.. Nadhani ana mihemko sana.. Mwingine mwenye tabia hiyo ni Rich Mavoko!
Mavoko simsikii tena sijui washampangusa nae..?!
 
Ukipita huko ista hii ndo
Story inayosambaa
 
Back
Top Bottom