DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Una kapicha kake hapo karibuDada yake Chibu
nmuone
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una kapicha kake hapo karibuDada yake Chibu
HuyuUna kapicha kake hapo karibu
nmuone
Yuko wap mpenzHuyu
Na weka inagoma ngoja niweke tenaYuko wap mpenz
Naiombea isigome tena mpenz wanguNa weka inagoma ngoja niweke tena
kushinda sura yakoKifesi mwenyewe sura ngumu
KWATAARIFAAYAKOO ALIEKUTUMA KACHEMKA DOGO KASAMBAZA MSG ZA KUACHA KAZI HATA CHIBU AELEWI..ALIPOMSHTUA DOGO AKAMPA MAKAVUU WAKASHINDWA KUELEWANA ..NDIPO AIBU ZA KUONDOKA ZIKAWASHTUA WANASAMBAZA KAFUKUZWA KAZI. SOMA ALICHOANDIKA DOGOO KUNAMAMBO MAKUBWA YANAYOMZUIA KWENDA MBINGUNI AKAONA HAONI FAIDA KUFURAHIA MAISHA YA DUNIAN ATA UWE TAJIRI NA MBINGU UKAIKOSAA..HUYU N KIFUhatimae dada yake chibu esma platnumz amesema kuwa kifesi amefukuzwa kazi wala hajaacha kazi kasema wao wamemshindwa sembuse yeye mtu baki
View attachment 730388
KIFE ANA AKILIPengine kifesi na yeye anayajua mengi.ni mstaarabu sio mropokaji
Kumbe ndio huyu
MamaKumbe ndio huyu
Wame share baba mama or none??
OkayAsante mpenz linamo.
Sina swal la nyongeza
Hapana. Ni jina lake kabisa la Ukoondo linaitwa Kisura.Ni shoga ?
Sawa sawaHapana. Ni jina lake kabisa la Ukoondo linaitwa Kisura.
Ndio maana kaamua kuwapigapicha wenye sura nzuri...Kifesi mwenyewe sura ngumu
Kikwapa sugu sikuhizi ananukia utuliEsma umkumbuke zari maisha yako yote, tangu kadate na bro wako ukajua hadi kuoga ulikua unapost picha insta mchafu mchafu masikini vidole ka tangawizi.....siku hizi hadi wajiita Esma platinum enzi hizo Esma wakuache ulikua wakuache kweli mchafuu