Siri imefichuka kumbe kifesi amefukuzwa kazi wcb

Siri imefichuka kumbe kifesi amefukuzwa kazi wcb

Sasa huyo ESMA ndo nani hapo wcb?
halafu mbona hakuna baua lolote aliloandika huyo kifesi?
Watanzania logic hamna ...

Sasa wewe Asma anajibizana na kifesi unaingilia ya nini!?? Kwani alikuambia aanautaarifu uma..
 
Nakumbuka kitambo sana kwenye interview moja diamond aliwahi kusema kuwa hata mamanager wake alishawambia wasimuingilie kwenye mapenzi yake maana mwisho wa siku watagombana na watamuona mbaya.
Akatoa mfano anaweza gombana na mpenzi wake ukamshauri yule msichana hakufai na ni mbaya na yeye akakubari kabisa kuwa hafai na hatorudiana naye ila baada ya siku ukasikia wamerudiana utajisikia vibaya umkasirikie...
Hii ni kweli kabisa.
Sio kwa Diamond tu ni all over
 
AIBU ZA KUONDOKA ZIKAWASHTUA WANASAMBAZA KAFUKUZWA KAZI.
Ahahaaaah...
Yaani WCB waone aibu Kifesi kuondoka..!?
Huyo Kifesi anaihitaji WCB kuliko WCB inavyomuhitaji..!
Kama kakutuma au ndio wewe mwenyewe Kifesi kaa kimya tu,usizidi kuchekesha watu..!

Wewe unaanzaje kumwambia boss wako hana akili kisa kakubali kuachwa na mzazi mwenzie,tena haumwambii uso kwa uso,unamwambia kwa kupost Instagram..!
Fanya kazi mahusiano/ndoa ya boss wako sio sehemu ya kazi yako..!
 
Kafukuzwa,kajifukuza au kaacha kazi si muhimu hapa isipokuwa unaanzaje kuingilia maamuzi ya kimapenzi ya boss na mzazi mwenzie.

Daaaaah kuna watu majasiri nchi hii hapana kwa kweli....
Unaanzaje kumwambia boss wako kuwa kakosea kufanya maamuzi tena ya mapenzi bila yeye kuomba ushauri wako?

Mimi siwezi na wala sijui wapi pa kuanzia tena baya zaidi unaenda kupost mtandaoni ili dunia nzima waone daaaaaah!
 
Yani tulikuwa hata hatumjui mpaka kapata kiben ten cha kukitunza halafu analeta shobo dundo anajikuta na yeye ni boss WCB[emoji23][emoji23]

Amshukuru sana Zari kamfanya hata kajua kufanya biashara akapata hata na hela za kulea kiben ten

Sent from my SM-N910T using JamiiForums mobile app
Enzi hizo haujui wanja hata kiben ten hakitulii nyumbani kila siku kiko na wema utadhani kivulana kilichobalehe kumbe mme na familia, sikuwahi kumuona hata akitoka na mkewe kila mtoko yupo na wema, sahivi Esma anavihela na anaoga wanashona vitenge sare na kwenye shughuli wapo wote mambo niiiiii motooo
 
Back
Top Bottom