Siri imefichuka, kumbe WEMA ni mke wa mtu..

Siri imefichuka, kumbe WEMA ni mke wa mtu..

Hii habari ni ya 2006?au 2009? Acha vijana wajilie vyao
 
Ilikuwa ni shooting....

shooting ya nini? Bidada alipigwa ndoa sema haikuandikwa sanaa coz ilikuwa mda 2009, na hiyo filam unayoizungumzia naijua inaitwaje sijui aligiza wema, jumbe na dada ake jumbe anaitwa asha jumbe
 
jamani huku sio jukwaa la dini
acheni ujinga mda wote kashfa za kidini
tujifunze kuheshimu imani za wenzetu
 
Back
Top Bottom