Siri Imefichuka: Maafisa wa Ngazi ya Juu wa Marekani Wanamshawishi Rais wa Ukraine Afanye Mazungumzo na Putin




Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Nashindwa kuelewa kama kweli jamiiforum is home of great thinker [emoji848][emoji848]..Ina maana hii statement haijaeleweka kweli?
""" The encouragement is aimed not at pushing Ukraine to the negotiating table,but ensuring it maintain a moral high ground in eyes of it's international backers"""

Hapa ni anachojaribu kukifanya marekani naweza kukilinganisha na kile hambacho wanandoa wengi hasa wanaume Huwa Wanafanya hasa pale wanapokuwa na matatizo ya kisheria na wenza wao...,wewe kama mwanaume, litakuwa ni kosa kubwa sana iwapo ukifishwa mbele ya vyombo vya Sheria na kukiri hadharani kwamba " Mimi huyu mwanamke simtaki,na siwezi kuendelea kuishi Naye,nataka tuachane maana simpendi "" hii statement inaweza kukugharimu sana iwapo una tatizo la kisheria na mwenza wako..,

Hivyo hivyo Ukraine kukataa Wazi wazi kwamba hataki mazungumzo na urusi ni kosa kubwa kimkamkati na pia inaleta taswira mbaya mbele ya jamii ya kimataifa..,hapa kinachofanyika ni kumtaka Ukraine kupretend kufanya mazungumzo ya amani na urusi.., iwapo hayo mazungumzo yatakwama hakuna wa kulaumiwa kati Yao wawili..,na kumbuka ya kwamba kati ya wote wawil yaani urusi na Ukraine..,kila mmoja anakuwa na nafasi ya kuyafanya mazungumzo yakwame,au yashindwe kufikia suluhu ya amani kwa maslahi yake mwenyewe..,na asilaumiwe kwa chochote,Bali matokeo ya jumla yatakuwa ni mazungumzo ya amani yamekwama,

Naona wengi mnacoment kwa mihemko tu na mipasho bila kusoma chochote..,au kama mnasoma, basi lugha ya mfalme ni tatizo,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Anajua kusoma hiyo lugha. Hata hajui.
 
Kuhusu gharama.
Najua US kapigana kule kwa wateleban kwa miaka 20+.
Kaweka jeshi kile Iraq kwa miaka 15+
Kaweka jeshi kule kwa Assad sasa inakaribia 10+.

Nadhani kwenye suala la gharama hawa jamaa wanaweza kaa vitani hata decades 5.
Cyo head on combat na taifa kubwa kama Russia.
After Iraq war uchumi ulidrop . Hofu pia china anampiga gap kiuchumi!!…
 

Kiranja anapaswa kwenda kumuadhibu urussi na kumtoa Putin, kama alivyomtoa Saddam
 
USA yeye anapenda vita iwepo popote pale yeye huwa ni third party wa kukopesha siraha na hawezi kujihusisha kwenye usuluhishi wowote kwa uwezo wake angeweza kuwa wazi ila kwa kuwa anataka kuwakopesha siraha na vitu vingine ili awadai baadae yeye hana hasara...sasa hivi anawapelekea miguu mipya DRC na Rwanda wasipoamka kuujua ukweli watapigana harafu yeye kama kawaida kusambaza siraha kote kwa masilahi ya baadae...
 
Mkuu umeelewa content?

Tunazungumzia gharama na sio matokeo ya vita. Kwa kumaanisha kwamba hii vita ikienda hata kwa miaka 10 mbele si ajabu hawa US wakaendelea ku-pump hela vitani maana sio jambo jipya wala gumu kwao!!!
 
Elewa content mkuu.
Habari ni kuhusu uwezo wa US kuendelea kutoa funds kwa Ukraine.
 
Kule kwa wavaa kobazi wa kiteliban walikua wanachukua rasimali zipi mkuu?
Inategemea rasilimali zilizopo katika nchi husika.
Hawawezi kukaa kwa kutegemea nafaka. Wanazo akili hao

Inategemea rasilimali zilizopo katika nchi husika. Hawawezi kukaa kwa kutegemea nafaka. Wanazo akili hao
 
"The encouragement is aimed not at pushing Ukraine to the negotiating table, but ensuring it maintains a moral high ground in the eyes of its international backers"

Huo mstari hujauona kwenye habari yako? Kumbe mpo mnakazana mmesubiri negotiation? Usupapawa uko wapi sasa mbwembwe nyingi kumbe hamna kitu. Hizo negotiations mtafanya wakijisikia na sio sasa, Putin aendelee kuzingatia kukaa mbali na majenerali wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…