Siri Imefichuka: Maafisa wa Ngazi ya Juu wa Marekani Wanamshawishi Rais wa Ukraine Afanye Mazungumzo na Putin

Siri Imefichuka: Maafisa wa Ngazi ya Juu wa Marekani Wanamshawishi Rais wa Ukraine Afanye Mazungumzo na Putin

Kuhusu gharama.
Najua US kapigana kule kwa wateleban kwa miaka 20+.
Kaweka jeshi kile Iraq kwa miaka 15+
Kaweka jeshi kule kwa Assad sasa inakaribia 10+.

Nadhani kwenye suala la gharama hawa jamaa wanaweza kaa vitani hata decades 5.
Nakukumbysha tu pale Iraq makampuni yake yanachota mafuta ple Afghanistan makampuni yake mengi ylikuwa yanazoa madini apo Syria makampuni yake yanazoa mafuta sasa ukrein anapata nn
 
Nakukumbysha tu pale Iraq makampuni yake yanachota mafuta ple Afghanistan makampuni yake mengi ylikuwa yanazoa madini apo Syria makampuni yake yanazoa mafuta sasa ukrein anapata nn

Gaidi kuu duniani halipenyezi rupia kama halijaona rasilimali. Ila wanasema Ukraine kuna visima vya gas/mafuta vya mkuu wa kaya wa taifa kuu duniani.
 
Mi nimeisoma sehemu nyingine nikaipuuzia!!.. nikajua naota..

Anyway it seems nchi za EU kuanzia January msaad utapungua sana.

US AID kwa ajili ya kuminyana na Kremlin ni kubwa sana kibajeti. US hawez kusaidia ukraine kwa miaka 2 … gharama kubwa hata kama mkopo utalipwaje? For how long?
Na Russia, SASA ivi wapo vibaya pia sio mchezo. Anatamani Vita iishe leo na auze gesi Kwa bei Sawa na maji ya kunywa. Yaani Lita 1000 ya maji ni 1,800. Na gesi anataka aiuze Kwa bei iyo
 
Wenyewe walifikiri Putin atakufa. 😂 😛🤣 maana wanasema mazungumzo yaendelee kama mwamba ataendelea kuwa rais.
Na haya ndiyo mawazo ya TumainiEl . Hii inatupa ishara ya wazi malengo ya Ukraine akitumiwa na mabwana zake ni kumtoa Raisi Vladimir Putin madarakani. Wanataka regime change in Russia ili waingize serikali ya viongozi vibaraka wa Marekani na mshirika wake UK kitu ambacho hawatafanikiwa labda Putin akiwa mzee sana wa miaka 85 hadi 90.
Labda aondoke mwenyewe madarakani kwa hiyari au afe kwa natural cause of death.
 
MK254 mmarekani wa Kunya Land pitia hapa.

Kesha ingia mitini,hasa baada ya Urusi kuzifanyia mahesabu makali roketis za HIMARS na kuanza kuzipukutisha kutoka angani kama nzinge, ni nadra kuzisikia tena.

Kikubwa zaidi jeshi la Urusi limefanikiwa vile vile ku-destroy repeaters karibu zote za aridhini huko Ukraine ambazo zilikuwa configured kushirikiana na satellite za USA kufatilia mwenendo wa jeshi la Urusi na kuwapatia taarifa jeshi la Ukraine na kusaidia katika ulengaji shabaha na kuongoza roketi/missiles - sasa kete hiyo Urusi imekwisha ipatia dawa/shughurikia yaani haipo tena, hilo limekuwa pigo sana kwa jeshi la Amerika na jeshi la Ukraine yenyewe walikuwa wanazitegemea sana katika operations zao za kijeshi.

Msifikiri Biden suddenly imefikia uhamuzi wa kuwatumia watu wengine kisiri siri ili wamshurutishe Zelensky afanye mazungumzo na Putin ili wasitishe/maliza vita huko Ukraine - nawambieni si bure, kuna kitu kimemshtua Biden - kitu cha kwanza Biden amegunduwa kwa mara ya kwanza kwamba kumbe jeshi la Urusi ni maji marefu, afadhali akubali yaishe licha ya Biden kupeleka wanajeshi wa US kisiri siri huko Ukraine wanavalishwa uniform za jeshi la Ukraine na kupelekwa front line,hata baadhi ya majeshi ya Ulaya nayo yanahusika kupeleka wanajeshi-hivi sasa actually Urusi inapigana na majeshi ya NATO/USA indirectly. Watu wote wapenda amani Duniani kote wanajua God willing Urusi itawashinda war mongers pamoja na mapreachers wa WNO na Unipolar World.

Dunia inataka Mungu atupe nini zaidi ya a brainy/wiser and mega smart Putin - take it or leave it, up2U.
 
Wamemchulia mpaka basi, lkn jamaa hafi tu.
 
Jamaa anawasmbaratisha mamluki kama utani. Biden anaogopa pia kitimoto kwamba kwa nini ulienda kupigana kwenye vita ambayo huwezi kuishindaa!!???
 
Subiria waje wamarekani wa pugu kajiungeni.
Nimewaona mchana huu wakitelemsha Pugu mnadani kula mbuzi na Lager! wakirudi sijui km mtaelewana kirahisi! km ujuavyo Msimbazi Kumejaa! yaani maji ya shingo! mvua za msitu wa kisarawe!

unavuka kwa kuburuza miguu! Ooole!! wako!! unyanyue Mguu mmoja!! Mawee!, au ukutane na mti tu, unao sombwa na maji yale! Bwana wee! hee!! halafu wamelewa!
 
Jamaa anawasmbaratisha mamluki kama utani. Biden anaogopa pia kitimoto kwamba kwa nini ulienda kupigana kwenye vita ambayo huwezi kuishindaa!!???
Atajibu hivi; namnukuu Biden mwenyewe;

''Mimi km Rais mliye mchagua kwa hiari yenu nina hali na sababu kubwa km Rais wa America kwenda kutetea Masrahi ya USA kwa hari na mori wa hali ya juu bila kusita sita!

haya yanajidhihirisha wazi km nilivo wahi sema hapo awali kuwa nitaiwela Marekani mbele na watu wake walionipa dhamana hii adhimu!! naamini katika ushindi tu! na wala sijawahi kufikiria USA kushindwa kwa hali yeyote iwayo!

kujipanga upya ktka Medani za kivita siyo kushindwa vita Bali ni mbinu ya ki-Vita ya kumchanganya adui, ninacho taka/waomba kutoka kwenu ndugu zanguni mniongezee muda zaidi

kwa sababu ni imani yangu isiyo tetereka kuwa nilipofikia ni pazuri kivita na penye matumaini mno!! endapo mtashindwa kunichagua kwa kipindi hiki cha mpito mtafanya kosa kubwa sana,

ktk Medani za ulinzi na usalama wa nchi yetu hii kubwa Duniani! ivo, kumchaguo mtu mwingine atimize lengo la asicho kijua basi eleweni kabisa kwamba ..

uwezekano wa sisi Americans kama Taifa!! kushindwa vibaya kwa mara ya kwanza ktk Historia ya Taifa letu hili kubwa na Lenye nguvu Duniani! ni mkubwa pia!

USA ninayoiamini ni kubwa mno kiulinzi, kiusalama, kiuchumi ivo na adui zetu ni wakubwa km sisi tulivyo wakubwa naomba msifanye kosa hilo! katka Historia ya Taifa letu kubwa hili,

nawaomba sana ndugu zangu wake kwa waume msijefanya kosa kubwa km hilo! ...mliniamini sana, endeleeni kuniamini hasa ktk kipindi hiki kigumu, ambacho USA inanihitaji zaidi kuliko kipindi chochote kile!

Mie km Mwanajeshi hai mwenye ari na nguvu, Mke wangu Mama naniliu...Jill Biden.... na Familia yangu Ashley, Beau! tuna hali na mori wa hali ya juuu kujitolea kwa nguvu zetu zote hadi tone la Mwisho la damu yetu!

ajili ya kuijenga USA na Dunia salama na yenye Matumaini! na kutetea Wanyonge woote Duniani! na kuifanya Dunia mahali salama kwa wote!

Mimi km Rais mwenye dhamana kubwa yakuliongoza Taifa kubwa la USA! sinto sita! sita kuchukua hatua dhabiti kwa ajili ya wanyonge woote wanoonewa na kudhurumiwa haki zao Duniani,

chini ya mstikabala wa Mataifa dharimu yasiyo kuwa na chembe ya utu!! wala huruma kwa kina Mama , viwete, wazee, maskini na watoto wasioweza kujitetea Duniani,

tulikemea ukatili huo tangu zama za utumwa na Bado tutaukemea bila kuogopa wala kusita kwa sababu sisi km Taifa kubwa lenye nguvu uwezo na Mamlaka!

tuna kila sababu, nia uwezo wa Mamlaka ya kuiweka Dunia Mahali salama kwa kila mmoja wetu! tulifanya ivo na bado tuta fanya ivo,.....

Nimekuwa nikiwapa mifano miingi sana ktk hotuba zangu mbalimbali km ilivotokea juzi! juzi USSR, dhidi taifa dogo sana la Ukraine! nilitoa tamko la Ki dunia na la wazi kabisa...

niltoa matamko mbalimbali Nikiwataka/na kuwashi wale Rafiki zetu wa kweli Duniani, Africa, Asia, na America watuunge mkono kwa hili, tena bila kificho wala kumungunya Maneno! woote hao wana tuunga mkono....

Nichukue nafasi hii kuwashukuruni sana, yale Mataifa Rafiki ya EAC, ECOWAS na SADDAC, na waendelee na moyo huo wa kuzuia Ukandamizaji ya vizazi vijavyoo!

tunachoomba kwenu (Mimi na familia yangu, chama changu cha Democrat), ni ridhaa yenu tu! ndugu zanguni Americans,...... Tulionyesha tulishangaza Dunia kwa Umoja na nguvu mlioionyesha tangia Mwanzo,

ambayo nathubutu sema ndiyo nguvu ileile imetufikisha hapa tulipo, kwa sera zilezile mlizo zikubali, Ambapo naamini kabisa Maadui zetu wote! hawalali kuhakikisha Kuwa USA hatuko salama!

ndg zangu waamerica sitaki kuona wala kusikia USA ile inayo heshimika Duniani kwa kutetea Wanyonge ikididimia mbele ya macho yangu, nitajitoa kwa nafsi yangu na familia yangu na kwa hali yeyote ile iwayo!

kuiweka USA salama! Bila aibu wala woga!...Umoja wetu ndiyo nguvu yetu!

Nimalizie kwa kusema tu ''God Bless America'' in God we trust!...... together as one!.... asanteni sana''
Mwisho wa nukuu!
 
Kumbe wengi mazuzu ,CIA walikuwa na kazi ya kuchuma na kuuza mimea opium jamii ya coke inayotoa madawa ya kulevya Afghanistan
USMC-120418-M-7721G-041.jpg
 
Visasi vya nini?
Ukraine wanaonesha wazi kuikubalia marekani kuweka base ili kulipiza visasi
Finland hawana sababu hiyo
Zelensky ni unstable maniac ambapo marekani wameona wanaweza kumtumia
Finland can not take that risk
 
Afghanistan ilikuwa na tangible benefits gani?
Marekani hatupi hela yakebpasipo na faida. Kwa Ukraine hakuna tangible benefit to USA. Though wanasema mtoto wa Biden ana visima gas/mafuta huko.
 
Back
Top Bottom