Kesha ingia mitini,hasa baada ya Urusi kuzifanyia mahesabu makali roketis za HIMARS na kuanza kuzipukutisha kutoka angani kama nzinge, ni nadra kuzisikia tena.
Kikubwa zaidi jeshi la Urusi limefanikiwa vile vile ku-destroy repeaters karibu zote za aridhini huko Ukraine ambazo zilikuwa configured kushirikiana na satellite za USA kufatilia mwenendo wa jeshi la Urusi na kuwapatia taarifa jeshi la Ukraine na kusaidia katika ulengaji shabaha na kuongoza roketi/missiles - sasa kete hiyo Urusi imekwisha ipatia dawa/shughurikia yaani haipo tena, hilo limekuwa pigo sana kwa jeshi la Amerika na jeshi la Ukraine yenyewe walikuwa wanazitegemea sana katika operations zao za kijeshi.
Msifikiri Biden suddenly imefikia uhamuzi wa kuwatumia watu wengine kisiri siri ili wamshurutishe Zelensky afanye mazungumzo na Putin ili wasitishe/maliza vita huko Ukraine - nawambieni si bure, kuna kitu kimemshtua Biden - kitu cha kwanza Biden amegunduwa kwa mara ya kwanza kwamba kumbe jeshi la Urusi ni maji marefu, afadhali akubali yaishe licha ya Biden kupeleka wanajeshi wa US kisiri siri huko Ukraine wanavalishwa uniform za jeshi la Ukraine na kupelekwa front line,hata baadhi ya majeshi ya Ulaya nayo yanahusika kupeleka wanajeshi-hivi sasa actually Urusi inapigana na majeshi ya NATO/USA indirectly. Watu wote wapenda amani Duniani kote wanajua God willing Urusi itawashinda war mongers pamoja na mapreachers wa WNO na Unipolar World.
Dunia inataka Mungu atupe nini zaidi ya a brainy/wiser and mega smart Putin - take it or leave it, up2U.