BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Nadhani ni mazungumzo na ushawishi sio mikwara. Putin sio TshisekediNimeiona BBC pia. Ila inaonekana haya mazungumzo yamesaidia kwa kiasi kikubwa mpaka leo Urusi hajatumia Nyuklia.
Sasa kuna muda Urus alipiga mkwara wa kutumia Nyuklia, badae Urus akapotozea!
Je, USA alitumia mbinu gani za kumzuia Urus asitumie Nyuklia? Ilikuwa ni ushawishi tu au USA alimpiga mkwara Urusi?
ebu mzungumzie Urusi ndo utuletee ushuz wako mwingine , mnakuwa na miwasho yq kuiwazia nchi fulani , story inamuhusu Urusi ila nyegez zinakuforce umtaje KibadenUliaminishwa nanani!!?
Supa pawa wenu lini aliwahi kuiangusha sirikali yeyoye hata ile ya somalia kwa walau hata week licha yakwamba alikua na shost zake wa OTAN
Hana majivuno,mpangilifu,ana busara na hekima,jasiri,msomi,jasusi,commando,mvumilivu na mwenye subra,waama mwenyezi MUNGU katuletea mtetezi dhidi ya MASHETWANI wanaoufanyia ghasia na kufuru ulimwengu.Hiki chuma ni hatari sana.
Rasmi sasa, hiki ni kifaa cha dunia.
Hana majivuno,mpangilifu,ana busara na hekima,jasiri,msomi,jasusi,commando,mvumilivu na mwenye subra,waama mwenyezi MUNGU katuletea mtetezi dhidi ya MASHETWANI wanaoufanyia ghasia na kufuru ulimwengu.Hiki chuma ni hatari sana.
Rasmi sasa, hiki ni kifaa cha dunia.
Hana majivuno,mpangilifu,ana busara na hekima,jasiri,msomi,jasusi,commando,mvumilivu na mwenye subra,waama mwenyezi MUNGU katuletea mtetezi dhidi ya MASHETWANI wanaoufanyia ghasia na kufuru ulimwengu.
ebu mzungumzie Urusi ndo utuletee ushuz wako mwingine , mnakuwa na miwasho yq kuiwazia nchi fulani , story inamuhusu Urusi ila nyegez zinakuforce umtaje Kibaden