Siri imefichuka Wachezaji wa Yanga Nahodha Cannavaro na Kessy wapigana wakigombea posho

Yaani kujikakamua kooote na vijineno kibao, kumbe eti Yanga msiwe na kiherehere na kuwashwawashwa...!!!!! Ushachomwa sindano tulia dawa iingieeeee..
 
Dismass Ni mtu makini Sana hawezi kuangaika na mtu kama wewe.
 
Dismass Ni mtu makini Sana hawezi kuangaika na mtu kama wewe.

Si mlikuwa mnadhani labda nimebahatisha tu mbona sasa wenyewe wamekiri na wamepunguza tu ukali wa sakata lenyewe na sasa wanasema kulikuwa na kutoelewana kidogo tu baina ya hao Wachezaji wawili niliowataja? au unataka sasa nikupe na nyingine inayohusiana hasa na mechi yenu ya Kesho dhidi ya Stand United ili ujue kwamba GENTAMYCINE ni habari nyingine hasa linapokuja suala la kuyajua mengi na zaidi yahusuyo Klabu ya Yanga?
 
Wamesemea wapi habari zako siziamini mpaka kombe litue mto msimbazi kutoka fifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…