Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dismass Ni mtu makini Sana hawezi kuangaika na mtu kama wewe.Hapa tunaongolea ' ngumi ' zilizopigwa huko Tabora baina ya Nahodha wenu Nadir Haroub ' Cannavaro ' na Beki Ramadhan Kessy na siyo hayo mengine uliyoyauliza sawa? Namsubiri kwa hamu mno Msemaji wenu Yanga SC Dismass Ten aikanushe hii ili ' nikinukishe ' au ' nikiwashe ' tena kwa taarifa nyingine ambayo ndiyo itachafua kabisa hali ya hewa huko Jangwani. Namsubiria kwa hamu sana!
Dismass Ni mtu makini Sana hawezi kuangaika na mtu kama wewe.
Wamesemea wapi habari zako siziamini mpaka kombe litue mto msimbazi kutoka fifaSi mlikuwa mnadhani labda nimebahatisha tu mbona sasa wenyewe wamekiri na wamepunguza tu ukali wa sakata lenyewe na sasa wanasema kulikuwa na kutoelewana kidogo tu baina ya hao Wachezaji wawili niliowataja? au unataka sasa nikupe na nyingine inayohusiana hasa na mechi yenu ya Kesho dhidi ya Stand United ili ujue kwamba GENTAMYCINE ni habari nyingine hasa linapokuja suala la kuyajua mengi na zaidi yahusuyo Klabu ya Yanga?
Mkuu hakuna nafas huko uniaddHii habari ilete kule, kwenye group letu la Simba Taifa Kubwa mkuu.