Mjusi Sharobalo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2025
- 8,306
- 14,632
Halafu risas wakatutwanga sisi, aiseeee nchi ya hovyo sana hii.
Vipi unanidai?
Mbona makasiriko 😅😅Vipi unanidai?
Usiniite ite bila sababu,Mbona makasiriko 😅😅
Sawa 😅Usiniite ite bila sababu,
TENA WAFANYABIASHARA WOTE WARUHUSIWE KUMILIKI BUNDUKI SIO BASTOLA MBONA WEZI WATAISHASasa hivi wenye biashara zao wameshasema yeyote atakayesogelea eneo la biashara za watu, kutaka kufanya uharibifu wanaruka naye kwahiyo hao mamluki wachague moja, waache watu waandamane kwa amani au waingilie wafanye uharibifu watu wawamalize
Kweli kafiri hauna Marinda. 😂😂Kweli Nyumbu hamna akili