Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Hili ndo Tatizo Letu kubwa Bongo yan team za nje hata zitufanyie vipi figisu bt wakija bongo sisi wala hatuwezi kujibu mapigo.Hawa walitakiwa wakifika kipawa pale tuwapandishe kosta mpaka mwanza huko kisha wakifika wapo hoi kesho yake ni mwendo wa kuwafunga tu.Mimi naiomba sana Timu yetu ya Simba plus viongozi wa Serikali tuache mambo ya ukarimu ukarimu na huruma kwa hawa Plateau wakija.
Tuwafanyie hujuma na figisu figisu za kufa mtu mpaka akili iwakae sawa
Maana kiukweli hii gemu bado ni mbichi sana, hawa jamaa ni wa moto, wametushambulia sana na imekuwa bahati kubwa kwetu kutokuconcede away goal
Hili ndo Tatizo Letu kubwa Bongo yan team za nje hata zitufanyie vipi figisu bt wakija bongo sisi wala hatuwezi kujibu mapigo.Hawa walitakiwa wakifika kipawa pale tuwapandishe kosta mpaka mwanza huko kisha wakifika wapo hoi kesho yake ni mwendo wa kuwafunga tu.
Kisasi sio jambo jema,hatahivyo hii timu haina uwezo kuifunga simba hawana match fitnessMimi naiomba sana Timu yetu ya Simba plus viongozi wa Serikali tuache mambo ya ukarimu ukarimu na huruma kwa hawa Plateau wakija.
Tuwafanyie hujuma na figisu figisu za kufa mtu mpaka akili iwakae sawa
Maana kiukweli hii gemu bado ni mbichi sana, hawa jamaa ni wa moto, wametushambulia sana na imekuwa bahati kubwa kwetu kutokuconcede away goal
Hili bao video yake mpaka sasa imeshindikana kupatikana. Wengine wanasema waki upload baada ya sekunde tu ile Video inapotea. Ni kama inakuwa deleted.
Hili wameniambia jamaa wawili ambao walikuwa na team Nigeria. Wanasema hata kwenye simu zako waki-upload kwa wengine inashindikana.
Huwezi amini mpaka muda huu BAO LA CHAMA DHIDI YA PLATEAU HALIPATIKANI. KOTE HALIJAWEZA PATIKANA.
HAWA WANAIJERIA NI KIBOKO.
Au alikuwa amevaa kondom.Hili bao video yake mpaka sasa imeshindikana kupatikana. Wengine wanasema waki upload baada ya sekunde tu ile Video inapotea. Ni kama inakuwa deleted.
Hili wameniambia jamaa wawili ambao walikuwa na team Nigeria. Wanasema hata kwenye simu zako waki-upload kwa wengine inashindikana.
Huwezi amini mpaka muda huu BAO LA CHAMA DHIDI YA PLATEAU HALIPATIKANI. KOTE HALIJAWEZA PATIKANA.
HAWA WANAIJERIA NI KIBOKO.
Hili bao video yake mpaka sasa imeshindikana kupatikana. Wengine wanasema waki upload baada ya sekunde tu ile Video inapotea. Ni kama inakuwa deleted.
Hili wameniambia jamaa wawili ambao walikuwa na team Nigeria. Wanasema hata kwenye simu zako waki-upload kwa wengine inashindikana.
Huwezi amini mpaka muda huu BAO LA CHAMA DHIDI YA PLATEAU HALIPATIKANI. KOTE HALIJAWEZA PATIKANA.
HAWA WANAIJERIA NI KIBOKO.
Nimelitafuta aseee sana.