Siri kubwa iliyojificha ambayo inawatafuna wasanii hawa wa Afrika Mashariki

Aisee mnaokataa mambo ya kishirikina hakuna siwaelewi elewi mpo mnakataa kiukweli kabisa au mnavunga hapa? Nina wasiwasi kila atakaesema hakuna mambo ya hivyo uyo naye ni mtumiaji mzuri sana wa hayo mambo anajaribu kuficha uchi wake tu...mimi nakumbuka enzi hizo watu wakipelekwa kikazi sehemu kama Kigoma na Sumbawanga uko wengi wao walikua wanaacha kazi kisa uko kulikua ni moto balaa
 
Stori zingine hata kama unakua mlevi mbwa lazima utazipuuza tu.
 

Yaani! Mi mwenyewe nawashangaa. Watu wako ki mapenzi zaidi, Africa yetu bado sana kwenye ushindani wa kweli kwa sababu tunatumia sana ndumba.
 
nina mashaka na Diamond atakuwa nae ni mdau wa Ziwa Victoria, diamond hana kipaji,hajui kuimba, Video mbovu lakini anapendwa hatari,, pesa zake hazieleweki kapata wapi nina mashaka nae sana

Kuanza kuamini uchawi ni limit pekee waliojiwekea wapumbavu baada ya kushindwa kufikiri
 
Halafu J.i.d.e hakuitwa kwa show ya kiboko yao!!! Why???
 
Napita
 
Du
Du 1.5b kwenye akaunti alafu unafuliaje
 
umeongea ukweli, ila wengi hapa hawatakuamini, wasanii wanaotumia ndumba kufanikiwa wanaishi maisha magumu sana ila bhas tu.. kwa nje inaonekana wana-enjoy zinc
 
Magufuli nae ni mdau wa Ziwa Victoria we uoni juzi juzi alikuwa huko. Alikwenda kupiga mbizi na mayai ya mjusi.
 
Hizi habari zimezagaa sana, kuna mtu aliwahi niambia et dimonde alirusha mahindi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…