Nina ukaribu na wasanii wachache wa bongo! Kwa maslahi ya ukaribu wetu, sintawataja!
Kupitia wao, nimeyaskia mengi ya kishirikina zaidi ya hata aliyosema mkuu ktk uzi wake!
Kwa upande wa wanasiasa, pia iko hivo hivo! Niliwahi kufanya kazi na mmoja wao, nae si tu alinipa kujua uhusiano kati siasa na ushirikina, bali niliweza hata kujionea "activities za Fundi"
Cha kushangaa sana mimi ni hiki, kuna mganga alikuwa anahudumu km wasanii wa3 hivi! Lakini ni mmoja tu aliheat au anaheat, na kituko ni kwamba, ktk wa3 hao, Wawili ni mabest sana, huyu alieheat pale alipelekwa tu na mwenzie, ambae akafanya vby zaidi!
Hapa ndio sielewi!