Siri kubwa iliyojificha ambayo inawatafuna wasanii hawa wa Afrika Mashariki

Siri kubwa iliyojificha ambayo inawatafuna wasanii hawa wa Afrika Mashariki

Kama uchawi ungekuwa kila kitu leo mwaka wa ngapi rukwa na kigoma hawana timu ligi kuu? wachina na wahindi wangekuwa wanapokezana world cup. Nigeria na Senegal wangebeba african cup kila mkiandaa. Uchawi upo na umetajwa vitabuni lakini sio kila anaefanikiwa tawileee! jamani hizi khabari za kuungaunga hizi!
 
Binadamu tumepewa uwezo mkubwa sana

Tunaweza tengeneza habari kutokana na hisia zetu wenyewe (haijalishi zina ukweli au uongo)
-tukaiamini habari hiyo
-tukaitengenezea mazingira ya ushahidi
-tukawauzia habari wengine....

kuamini au kutokuamini ni chaguo la mpokea habari

mie hii habari yako ndugu zinc siiamini hata kidogo..nimegoma

Hizo ni imani za kijinga tu,mimi nko mgodini hyo mambo tumeyaona sana n mwisho w siku ni kufilisika 2 mtu anatoa kafara kila wiki bt madini hapati.cku zote mtaji+juhudi ndio huleta maendeleo mtu unachimba mgodi kisasa n baruti zinapigwa kwa kufuata maelekezo y geologist kwanini nsipate madini
 
Nina ukaribu na wasanii wachache wa bongo! Kwa maslahi ya ukaribu wetu, sintawataja!
Kupitia wao, nimeyaskia mengi ya kishirikina zaidi ya hata aliyosema mkuu ktk uzi wake!

Kwa upande wa wanasiasa, pia iko hivo hivo! Niliwahi kufanya kazi na mmoja wao, nae si tu alinipa kujua uhusiano kati siasa na ushirikina, bali niliweza hata kujionea "activities za Fundi"

Cha kushangaa sana mimi ni hiki, kuna mganga alikuwa anahudumu km wasanii wa3 hivi! Lakini ni mmoja tu aliheat au anaheat, na kituko ni kwamba, ktk wa3 hao, Wawili ni mabest sana, huyu alieheat pale alipelekwa tu na mwenzie, ambae akafanya vby zaidi!

Hapa ndio sielewi!

Hizo ni imani tu ukizoea ushirikina utateseka sana kwenye maisha yko.hata ukijikwaa unakimbilia kwa mganga atakula hela zko mpka uishiwe.mimi nao wa2 wenye migodi hku wanaoendekeza kafara hawana ki2 ila wanaochimba kisasa n kufuata ushauri wa ma geologist kila mara wanapata madini.hivi mganga yeye maskini w kutupwa akupe wewe utajiri yeye hautaki,au kwanini asiwape familia yke nao watoke kimaisha
 
Kiongozi! Siri katika nchi hii haijafichuka sawa sawa lakini siku ipo itafichuka. Watu wanachoshindwa kuelewa ni kwamba, uchawi ndiyo unatufanya wa tz tusiendelee. Na hata tukiendelea ni kwa muda tu, uliza ya inspector au juma nature mzee wa tawile. Juma nature ni mzuri kwa tunguri asikwambie mtu lakini sasa anapoishia ni shida.

Ushirikina hauna mana hivi mganga gani tajiri au ndgu,wanae hawataki huo utajiri wanapenda umasikini tu.hku mererani kuna wa2 walikua wanaendekeza makafara kwa ushauri w waganga ila leo hawana hata mia n migodi imefungwa.
Ukiwa umeinvest kwenye mgodi kwa vifaa vya kisasa kma monorope,umeme,skip pia umeajiri geologist anaejua miamba kwanini usitoe madini kila mara.mgodi unataka uchimbaji w kisasa n mtaji lazma upate madini hata mara 3 kwa mwaka
 
vanilla ice,epmd,ja rule,cisco,warren g,coolio,keith sweat,112 etc etc wote walikuwa wanaenda kwa waganga sasa hivi wamefulia kimziki.
 
Nmefuatilia post nying za zinc naona muda mwing sn ye amebase ktk kumponda jide always...so maybe ukute kuna kitu mlipishana malipo yake yamegeukia ktk kuanzisha thread za kumponda always bt ktk hili sitokuamin coz wabongo mnaongea sn na kila mtu anaongea kwa matakwa yake mrad nae aongee

Sina chuki na J.i.d.e. Hanijui simjui, hii story wanayo watu muhimu sana nchi hii. Nimejaribu kuimega ili niwape na nyie mujadili. So! Acha mahaba
 
Mkuu mwaga

Mkuu! Hakuna binadamu anayejua kuimba kama Lucifer, hakuna na haitokaa itokee. Ili uweze kufanikiwa kuteka zaidi, anahusika sana Lucifer hapa. Usione vyaelea ujue vimeundwa, sasa je vimeundwaje undwaje???!!! Anakonda ni ishara ya Lucifer, huko kwingine sitaendelea kiongozi, nisamehe
 
Mkuu! Hakuna binadamu anayejua kuimba kama Lucifer, hakuna na haitokaa itokee. Ili uweze kufanikiwa kuteka zaidi, anahusika sana Lucifer hapa. Usione vyaelea ujue vimeundwa, sasa je vimeundwaje undwaje???!!! Anakonda ni ishara ya Lucifer, huko kwingine sitaendelea kiongozi, nisamehe

Huyo lucifer unamuonaje ukimtakaaa
 
Hahahahahaaaaa hahahahahaaaaa hahahahahaaaaa hahahahahaaaaa hahahahahaaaaa hahahahahaaaaa hahahahahaaaaa nilipoangalia
 

Attachments

  • 1422109867378.jpg
    1422109867378.jpg
    28.9 KB · Views: 244
So Jide yeye alichagua mali badala ya watoto, na chameleone yeye alichagua mali badala nini? Na masharti yaliyomfanya Bushoke akimbie ni masharti gani hao?
 
Hizo ni imani za kijinga tu,mimi nko mgodini hyo mambo tumeyaona sana n mwisho w siku ni kufilisika 2 mtu anatoa kafara kila wiki bt madini hapati.cku zote mtaji+juhudi ndio huleta maendeleo mtu unachimba mgodi kisasa n baruti zinapigwa kwa kufuata maelekezo y geologist kwanini nsipate madini

Ndo hapo sasa...
Juhudi zinalipa sana
 
Ndo hapo sasa...
Juhudi zinalipa sana

Siyo kila thread ninayoianzisha ukafikiri ni masihara. Hii story ni moto, hata ufanye vp. Upande wa pili dunia ipo hivi ndugu yangu
 
nina mashaka na Diamond atakuwa nae ni mdau wa Ziwa Victoria, diamond hana kipaji,hajui kuimba, Video mbovu lakini anapendwa hatari,, pesa zake hazieleweki kapata wapi nina mashaka nae sana

and the opposite is very true
 
Back
Top Bottom