Chosen Rich
JF-Expert Member
- Jan 7, 2019
- 1,467
- 989
Jua lipo miles kibao lakini tunaweza kujua matokeo ya mambo mbali mbali.So., unataka ujue object ambayo mnadai ipo Miles 93 million ina move vipi?
Unazijua 93 Million miles?
Hahh sasa naanzaje kupanic wakati vitu vipo clear?Hahaha usipanic kaka,
Kunywa maji relax kisha tuendelee.
Usingebumba bumba majibu ungekua umeweka hapa muda sana,Nyingi sana,..sijaamua Tu kuziweka on paper.
Kila siku jua linachomoza mashariki na kuzama Magharibi,Hahh sasa naanzaje kupanic wakati vitu vipo clear?
Hivi unajua kama mwanzo hao unaowaaamini 100%...walisema Jua lipo "fixed"?Jua lipo miles kibao lakini tunaweza kujua matokeo ya mambo mbali mbali.
Ikiwepo kupatwa kwa mwezi, kupatwa kwa jua hata vipindi vya mwaka.
Huko mbali sana, hiyo ni elimu ya mbali sana kwenu mtapasuka vichwa..Hivi unajua kama mwanzo hao unaowaaamini 100%...walisema Jua lipo "fixed"?
Baadae wakachunguza wakabadilisha wakasema na Jua lina move pia...
Sasa siku usishangae wakibadilka na kusema "Dunia ipo fixed!"
Kwa bahati mbaya huenda theories zikibadilika in the future Mimi na wewe hatutokua hai.
Majibu nishaweka mengi humu na mifano halisia kabisa.... tatizo NASA washamiliki kichwa chako hutaki kusikia chochote.Usingebumba bumba majibu ungekua umeweka hapa muda sana,
NASA hawajamiliki kichwa changu,Majibu nishaweka mengi humu na mifano halisia kabisa.... tatizo NASA washamiliki kichwa chako hutaki kusikia chochote.View attachment 2921480
Jua halizami wala kuchomoza....mpaka Leo hii Karne ya 21 unaamini Jua linazama na kuchomoza?Kila siku jua linachomoza mashariki na kuzama Magharibi,
Kwa nadharia yenu hauna jibu ni kwanini mpaka muda huu.
Shtuka Dunia ni tufe.
,Majibu nishaweka mengi humu na mifano halisia kabisa.... tatizo NASA washamiliki kichwa chako hutaki kusikia chochote.View attachment 2921480
Ila si unajua kama mwanzo walidai Jua lipo fixed?Huko mbali sana, hiyo ni elimu ya mbali sana kwenu mtapasuka vichwa..
Tumalize muelewe kwanza hili tutafika huko mbele taratibu.
Mbona unashindwa kuelezea sasa, Jua ipo juu kwa mujibu wenu kadri linavyoenda mbali lingepotea kwa kufifia taratibu...Kivipi lipotee kwa mtindo huo ? Akili yako haisadiki kama Dunia inazunguka bro ?Jua halizami wala kuchomoza....mpaka Leo hii Karne ya 21 unaamini Jua linazama na kuchomoza?
That's an old narrative bro!
Ndio maendeleo hayo,Ila si unajua kama mwanzo walidai Jua lipo fixed?
Kupotea Kwa mtindo huo hakulifanyi Jua lizame wala kuchomoza...na hakuifanyi Dunia iwe Tufe.Mbona unashindwa kuelezea sasa, Jua ipo juu kwa mujibu wenu kadri linavuoenda mbali lingepotea kwa kufifia taratibu...Kivipi lipotee kwa kwa mtindo huo ? Akili yako haisadiki kama Dunia inazunguka bro ?
Hahh vizuri,....sasa kama mwanzo walikosea kuhusu Jua,..usishangae siku wakibadilisha theories zao na kusema Dunia ipo stationary!Ndio maendeleo hayo,
Imekuja kugundulika magimba yote kwenye ulimwengu wetu yanazunguka centre of the galaxy ( black hole )
Huku tuachane napo kwanza hadi uelewe kuhusu Dunia tufe.
Sio walikosea,Hahh vizuri,....sasa kama mwanzo walikosea kuhusu Jua,..usishangae siku wakibadilisha theories zao na kusema Dunia ipo stationary!
Utaweka wapi sura yako?
sasa kama teknolojia ilikua hairuhusu kwanini wadanganye kipindi hicho?Sio walikosea,
Teknolojia haikua inaruhusu kubaini yote haya na ndio maana nmesema ni maendeleo hayo.
,Kupotea Kwa mtindo huo hakulifanyi Jua lizame wala kuchomoza...na hakuifanyi Dunia iwe Tufe.
Wewe unaona as if Jua linazama/kuchomoza kutokana na effect ya refraction...
Walisemaje ? Leta maelezo yao tusome wote hapasasa kama teknolojia ilikua hairuhusu kwanini wadanganye kipindi hicho?