Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?


  • Total voters
    710
Unasikitisha sanaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ au unajichetua tuπŸ˜€πŸ˜€.
Mass ni force???? πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Na weight itakuwa ni nn?
 
Hoja yako ni dhaifu ,curved land ni ngumu kuona sababu ya milima na mabonde ,but inaonekana vizuri baharini,labda tukuulize kwa nini meli inapoondoka bandarini inaonekana kwa mbali kama inatumbukia
 
Y
Ndio nafasi upo na ndo maana nakusikiliza, ila panapoleta shaka nakuambia au nakuuliza.

Kwa mfano unaposema gravity haipo lazima utoe uthibitisho unao disproof gravity na uwe tested.

Hata geocentric theory ilikuwa inaaminika kipindi hicho miaka 2000 nyuma lakn baadae ikawa disproved na Halocentric.
 
Hapa umeanza ku divert from physics principles. Sijajua umetoa wapi huu ugolo.

Force does not need some situations, once a force always a force it will be.
 
Unaona sasa,..kumbe unaamini Heliocentric Theory ilikuja kudisprove Geocentric theory.....
Lakini kumbe umesahau kwamba aliye propose theory hii(Nicolaus Copernicus), at that time alifanya kosa kubwa la kudhania kwamba jua lipo stationary na ndiyo center of solar system... Kitu ambacho kwenye Zama hizi imekuja kugundulika tena kwamba sio sahihi.


Sasa huoni kwamba kuna umuhimu wa kutumia our own sense pia,..if the so called geniuses can sometimes mislead the society??
 
Hapa umeanza ku divert from physics principles. Sijajua umetoa wapi huu ugolo.

Force does not need some situations, once a force always a force it will be.
Ukiwa umekariri ndiyo utasema force haihitaji some situations.....lakini ukiwa open minded utajua kama situations zina determine force..... simple kabisa πŸ’―.

Kwa mfano,....if the flow of water is high, it indicates that there is a greater force of water moving through a particular area. Conversely, if the flow of water is low, it suggests that the force of water is lower. The flow rate of water is often directly related to the force or pressure of the water, with higher flow rates corresponding to higher forces.
 
Umeshindwa ku grasp nn hapo?

Hiyo geocentric model ilikuwa disproved na heliocentric, means kwamba kulikuwa na udhaifu kwenye hiyo hoja then heliocentric ika improve. That's how science works.

Kwahy hata ikitokea theory nyingne itakuja ku improve baadhi ya vitu tu.

Alafu hata hiyo geocentric theory Bado haikusema dunia ni flat.

"Kitu ambacho kwenye Zama hizi imekuja kugundulika tena kwamba sio sahihi." Unasema haya Kwa disproof Gani ambazo zimethibitika kisayansi?
 
Hivi unaelewa unachoongea kweli??

Kwenye hayo maelezo yako Bado imebaki ni force, but different magnitude.

We umesema mass Kuna situation Inakuwa force. Inamaanisha kuwa Kuna situation Inakuwa sio force. Ndo hapo nikakwambia ikishakuwa force always itabaki kuwa force, regardless ya situation lakn kitakachochange ni magnitude tu.
 
hateeb10
Yaani hapa naona unazunguka tu, tulipofikia unatakiwa kwanza ujibu vitu hivi;

1. Mass ni force kivipi? And how it's measured?
2. Weight ni nn? And how it's measured?
 

Hapa pia umechemsha.
Flow sio force Bali ni movement ya substance kama liquid au gase through a system or medium.
Ambayo inakuwa influenced na gravity, viscosity na pressure gradient.
 
"Kitu ambacho kwenye Zama hizi imekuja kugundulika tena kwamba sio sahihi." Unasema haya Kwa disproof Gani ambazo zimethibitika kisayansi?
Unarudi pale pale,....kwamba bado unaamini Jua lipo stationary kama alivyodhania Copernicus kwenye nadharia yake ya Heliocentric?
 
Kwamba unaniuliza Mimi kama naelewa ninachoongea?! Ningekua sielewi ninachoandika hapa basi nisingeandika,.In the first place!

Ndiyo narudia tena kusema kwamba Mass kuna sehemu inakua force na kuna sehemu Inakua sio force....... simply kwasababu Mass itself does not exert a force; rather, it resists changes in motion when an external force is applied to it.


Kwa mfano Jiwe lina Mass...lakini huwezi ukalikuta Jiwe lipo at rest kisha useme Mass ya hilo Jiwe ni force at the moment.... Mass ya Jiwe itakua force endapo kutatokea some interactions... Kwa mfano Ukilikuta Jiwe kubwa lipo at rest kisha ukalisukuma Jiwe hilo basi Mass ya jiwe hilo ita determine Kwa kiasi kikubwa magnitude ambayo Jiwe litashuka nayo as a result of msukumo ambao umeufanya towards hilo jiwe..so, kwenye situation kama hiyo Mass tunaweza kusema ni force.
 
Hapa pia umechemsha.
Flow sio force Bali ni movement ya substance kama liquid au gase through a system or medium.
Ambayo inakuwa influenced na gravity, viscosity na pressure gradient.
Nadhani hujaelewa au tuseme umechemsha.....

Hapo hakuna sehemu nimesema flow ni force,...
Bali nimesema hivi πŸ‘‡πŸΌ
(a) Kama flow ya maji ikiwa kubwa,.basi tutasema Force ya maji kwenye eneo husika ni kubwa.

(b) Kama flow ya maji ikiwa ndogo..,basi tutasema force ya maji kwenye eneo husika ni ndogo.

Kwamba flow ya maji Inakua influenced na gravity? Sawa nimekubali πŸ™ŒπŸΌ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…