Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
“The sun doesn’t actually set and rise” instead?
Instead, it moves further away from one side of the Earth to the other, causing day and night to occur...Then you must take into consideration that the Earth is so large that the Sun cannot light up the entire Earth at once.
 
Watu wa Flat earth mpo stone age bado,
Sawasawa....mpaka Leo hujawahi kuona maji jinsi yanavyokua hold-up kwenye dunia Tufe linalozunguka umeamua tu kuamini based on ignorance.......

Ukibisha lete ushahidi wa Maji jinsi yanavyoshikiliwa kwenye dunia Tufe.....
 
Instead, it moves further away from one side of the Earth to the other, causing day and night to occur...Then you must take into consideration that the Earth is so large that the Sun cannot light up the entire Earth at once.

Okay.. so the midnight sun mean the sun stucks at one particular region for a bit longer?
 
Dunia ni kubwa kiasi ambacho Jua haliwezi kuangazia kila sehemu ya Dunia at once na ndiyo maana utaona sehemu nyingine ni mchana & vice versa.
 
Sawasawa....mpaka Leo hujawahi kuona maji jinsi yanavyokua hold-up kwenye dunia Tufe linalozunguka umeamua tu kuamini based on ignorance.......

Ukibisha lete ushahidi wa Maji jinsi yanavyoshikiliwa kwenye dunia Tufe.....
Ushahidi nmeshakupa kitambo, unataka ushahidi gani mwingine

Huoni wewe ndio umeamua kung'ang'ania ujinga ?
 
Okay.. so the midnight sun mean the sun stucks at one particular region for a bit longer?
Oooh kumbe hujui maana ya "midnight sun?

Midnight sun inatokea kwenye baadhi ya maeneo Duniani ambapo mpaka mida kama hii saa 23:22 Usiku Jua bado linawaka kama Mchana Tu.

Nadhani umeelewa sasa kuhusu midnight sun......
 
Ushahidi nmeshakupa kitambo, unataka ushahidi gani mwingine

Huoni wewe ndio umeamua kung'ang'ania ujinga ?
Kwamba ushawahi kuleta ushahidi wa Maji yanavyo work kwenye dunia Tufe linalozunguka?

Hujawahi mtaalamu,....ukiuleta sasa hivi nitaamini kweli Dunia ni Tufe linalozunguka.
 
Kwamba ushawahi kuleta ushahidi wa Maji yanavyo work kwenye dunia Tufe linalozunguka?

Hujawahi mtaalamu,....ukiuleta sasa hivi nitaamini kweli Dunia ni Tufe linalozunguka.
Angalia tukio la starship, Sina ushahidi mwingine zaidi ya huo kwa sasa,

Kama umedhamiria kuwa kichwa ngumu endelea kuwa kichwa ngumu.
 
Angalia tukio la starship, Sina ushahidi mwingine zaidi ya huo kwa sasa,

Kama umedhamiria kuwa kichwa ngumu endelea kuwa kichwa ngumu.
Naomba unisaidie niondokane na ujinga sasa.... kwenye tukio la starship sijaona hiki ninachokuomba.

Mbona ni kitu kidogo sana?(Just maji yanavyo work kwenye dunia Tufe linalozunguka 👉🏼🌍)....fanya hivyo usiwe mchoyo wa maarifa.

NB: Naamini hata wewe unatamani siku moja uone jinsi maji yanavyo behave kwenye dunia Tufe linalozunguka....nipo sahihi?
 
Kwamba ushawahi kuleta ushahidi wa Maji yanavyo work kwenye dunia Tufe linalozunguka?

Hujawahi mtaalamu,....ukiuleta sasa hivi nitaamini kweli Dunia ni Tufe linalozunguka.
Unatakiwa kuelewa concept ya shape. Hili swali usingeuliza. Jiulize basi hata ni nini kimesababisha ardhi ishikane mpaka kuweza kushikilia maji. Kwanini isiachane vipande vipande? Nini kinashikilia ardhi kuwa sehemu moja na maji yakachukua shape ya eneo yanaposhikiliwa? Au ndo mambo ya water has no shape? Hahaha
 
Wenzako hawaamini Kama ardhi ndiyo Inashikilia Maji wewe huoni una contradict nao?

Then,. kimsingi ukiamini kama ardhi ndiyo Inashikilia Maji unakua umeenda against nadharia kwamba Dunia ni Tufe,.👉🏼🌍

NB:- Nakumbuka ulishindwa kutuambia maji yana shape gani....What's wrong?
 
Wenzako hawaamini Kama ardhi ndiyo Inashikilia Maji wewe huoni una contradict nao?
Wenzangu kina nani?
NB:- Nakumbuka ulishindwa kutuambia maji yana shape gani....What's wrong?
Huwa Nakupuza boss, unashindwa kuchunguza hata maswali ninayokuuliza ukagundua hilo? wewe si mtu wa kuzungumza nae vitu serious kwa nia ya kuelimishana sababu huna hiyo nia. Unafaa kupoteza muda mtu ukiwa unapumzika au huna la kifanya. Muda sasa nimekutumia kwa namna hiyo.

Mfano hapa nimemalizana na ripoti ndo nataka nikuulize hivi jua huko hewani kwenye flat earth limeshikiliwa na nini? Kwanini halichomi maji ya mvua yakakauka kabla hayajashuka chini?
 
Interesting...!! hapana asee mtu anakwambia hamna aliyefika mwezini huyo sio mwana science hata kama ni mwana science anaichanganya na imani hapo ndio hutokea confusion
Kwamfano wewe unayedai binadamu amewahi kufika mwezini una proof yoyote au una uhakika %100 au uliamini tu kitu usichojua ukweli wake? Vipi kama mtu alishuti muvi akiwa maeneo ya siri kama AREA 51 huko Marekani halafu akakuambia kwamba hapo ndiyomwezini? Utabisha? Ko hata wewe unayedai binadamu amewahi kukanyaga mwezini huenda na wewe ulilishwa matango pori tu!
 
Una uhakika gani kwamba saizi kukiwa mchana kuna nchi zingine ni usiku? Unaweza ukanipa PROOF.
 
Una uhakika gani kwamba saizi kukiwa mchana kuna nchi zingine ni usiku? Unaweza ukanipa PROOF.
Simu yako inakusaidia nini? Shika simu yako nenda upande wa app ya Saa. Utaona miji mbalimbali katika dunia hii na mda wake.
 
Sina cha kukuelewesha brother.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…