Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?


  • Total voters
    710
Hivi hili joto halina uhusiano na flat earth kweli? Mtaalam hateeb10 majira kwenye flat earth yanatokana na nini? Masika, kiangazi. Embu shusha nondo.
 
Hivi hili joto halina uhusiano na flat earth kweli? Mtaalam hateeb10 majira kwenye flat earth yanatokana na nini? Masika, kiangazi. Embu shusha nondo.
Huyo huwa anajibu majibu mepesi kwenye maswali magumu😃😃
Sijawahi kuona flat earther ameleta exact day, time and location ya sun eclipse
 
Huyo huwa anajibu majibu mepesi kwenye maswali magumu😃😃
Sijawahi kuona flat earther ameleta exact day, time and location ya sun eclipse
Hahaha, Ni kwenda nae hivyo hivyo.
 
Hii ni kweli tupu! Tumedanganywa mengi sana ikiwemo kuabudu Mungu jua (Nimrod)na ndio asili ya sunday( sun-day)
 
Huyo huwa anajibu majibu mepesi kwenye maswali magumu😃😃
Sijawahi kuona flat earther ameleta exact day, time and location ya sun eclipse
Hata Mimi sijawahi kuona watu wa Impossi-ball 🌍 wakileta uthibitisho wa kuzunguka Kwa Dunia.... Mpaka Leo ni hadithi tu.

Unahisi kwanini mpaka Leo hakuna uthibitisho juu ya Dunia Tufe linalozunguka?
 
hateeb10 Mjibu huyu mwenzako,
Yes nimeona nadhani amekosa tu exposure....maana ni rahisi na kuna njia nyingi sana za kujua kama kuna variation za Usiku na Mchana depending on the movement of the sun & location ya nchi husika kwenye dunia iliyo stationary...hasa kwenye zama hizi ambazo teknolojia ipo juu mno.
 
Na jua kuchoma mvua ikakauka? Hujanijibu hilo. Kwanini jua halichomi mvua ikakauka?
Kwanza tunapaswa wote kukubali kwamba ulimwengu unafanya kazi kwenye njia ya kustaajabisha kabisa na intelligence ya hali ya juu,.kiasi ambacho sisi binadamu licha ya kuwa viumbe wenye uwezo mkubwa wa kufikiria kuliko viumbe wengine lakini tunapaswa kutafiti kila Leo ili kujua even small details kuhusu Dunia.

Umeuliza swali zuri,. binafsi siwezi kukupa majibu directly ila nita modify swali lako.... kwanini tusijiulize maji yanashuka yakiwa baridi na sio ya Moto licha ya ukali wa jua kwenye tabaka la mawingu?
 
Mimi sio wa Mbeya, Ila nina rafiki zangu huko na nmewahi kusoma.
Anhaa sawa ..Mimi siwezi kumlaumu Kwa kufikiria hivyo...huenda labda sio Mtu wa kusafiri sehemu tofauti tofauti za Dunia.....Kwa mfano hapa hapa Tanzania kuna mikoa ukifika saa 1 usiku Jua bado linawaka. mind you situation hiyo haisababishwi na curvature bali mzunguko wa Jua Tu.
 
Ni kweli mfano mikoa kama Sumbawanga, Kigoma mwanga wa jua upo hata saa1 jioni.


Ila mkuu inabidi ufahamu yote hii ni kwasababu ya Dunia kujizungusha.
 
Unalimodify ili ukaligoogle vizuri eti eee😀😃
 
Aisee. Haya tupe majibu.
 
Maji hayashuki yabaridi,yanashuka yakiwa na joto la mazingira ya kawaida.

Na kama jua ndio lingekuwa linasababisha yashuke basi usiku zisingenyesha mvua.
Kinachofanya yashuke ni uzito wa wingu kupindukia,kufika chini yakiwa maji ni matokeo ya joto la uso wa ardhi.

Ni kweli kabisa dunia inafanya kazi katika namna ambayo ni ya kusbangaza sana lakini sio dunia peke yake,hata ubongo wako pamoja na organs nyingine kwwnye mwili wa kiumbe ni wa kustaajabisha sana.ndio maana watu wanajifunza wanatafiti ili kujua kila iitwapo leo wanakuja na majibu bora zaidi ya ha awali,sio kuamka na kuanza tu kubisha bisha.mbaya zaidi ya nadharia za miaka 500 iliyopita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…