Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Kwamba Kuna mabara mengine tena out ya haya saba?
Kama hakuna aliewahi kwenda huko how come unakubali naww eti Kuna mabara mengine out ya haya tuliyonayo? How do they find out?
Nmesema inasemekana ,usini quote vibaya
 
Samahn lakin simu yangu hai support kufungua au ku download picha jf
 
Sasa ndo maana nakwambia hii theory yako ya Dunia flat Ina weaknesses nyingi sana na ndio maana vyote ni vinasemekana kwao, no proof of anything.
Nakubali Kuna weakness,hata upande wako wa Dunia duara au tufe , after Antarctica mnasema the same Kuna barafu na hamna binadamu anaeweza ishi huko na hamna evidence ya picha au video
Na kama Dunia ni duara au tufe hilo bara Antarctica Kwa upande wa pili ilitakiwa ipakane na Europe ,je zimepakana?
 
Samahn lakin simu yangu hai support kufungua au ku download picha jf
Sasa hapa sidhani kama tutaelewana. Okay sio kesi, ngoja nikuulize maswali haya.
1. Elezea lunar phases zinavyotokea kwenye Dunia flat
2. Dunia flat imeshikiliwa na nn?
3. Unaamini Kuna gravity?
4. Elezea solar eclipse
5. Sunrise na sunset
6. Seasons of the year
 
Kwahy hiyo ndo weakness pekee iliyokufanya uache kuamini Dunia ni duara??

Okay we unaweza survive kwenye baridi Kali? Umeambiwa Kuna barafu na baridi Kali sana na ndio maana hakuna mtu anaishi. Ni reserve kwaajili ya researches tu
 
Umeambiwa tu , hvo hvo mm pia nmeambiwa Kuna continent nyingine ila tumetenganishwa na ICE WALL
 
Na Kuna picha nyingi tu kutoka Antarctica sema ndo unasema huwezi kufungua picha, ila tafta mtandaoni utaona.
 
Lunar phase ntaelezea nikiwa na muda ,maana natoka online Kwa matatizo binafsi labda kama tutawasiliana offline ,ila
Hakuna gravity
 
Umeambiwa tu , hvo hvo mm pia nmeambiwa Kuna continent nyingine ila tumetenganishwa na ICE WALL
Mimi ninaushahidi wa picha kuwa Kuna barafu na aina ya wanyama wanaopatikana huko ww unaushahidi Gani?

Na Kuna sababu za kwann huko Kuna barafu na baridi Kali kutokana na umbo la Dunia kuwa Tufe.
 
Na Kuna picha nyingi tu kutoka Antarctica sema ndo unasema huwezi kufungua picha, ila tafta mtandaoni utaona.
Kisa Kuna barafu ndio unaamini ni Antarctica? Alafu haujajibu Antarctica imepakana na nini kwenye Dunia duara
 
Lunar phase ntaelezea nikiwa na muda ,maana natoka online Kwa matatizo binafsi labda kama tutawasiliana offline ,ila
Hakuna gravity
Ukirudi jibu tu usiwe na wasi wasi.
Kama hakuna gravity Then unambie ni nn kimeshikilia Dunia Jua na mwezi. Na ni nn kinafanya vitu vidrop🙃
 
Mimi ninaushahidi wa picha kuwa Kuna barafu na aina ya wanyama wanaopatikana huko ww unaushahidi Gani?

Na Kuna sababu za kwann huko Kuna barafu na baridi Kali kutokana na umbo la Dunia kuwa Tufe.
Hivi binadamu anaefanya research akaishi Mars ,anashindwa kweli kuishi Antarctica? Hapo tumia akili tu ya kawaida
Yaani aweze kuishi nje na Dunia ila ashindwe kuish duniani?
Mars na Antarctica ipi Iko mbali zaid na jua ?
 
Ukirudi jibu tu usiwe na wasi wasi.
Kama hakuna gravity Then unambie ni nn kimeshikilia Dunia Jua na mwezi. Na ni nn kinafanya vitu vidrop[emoji854]
Uzito unafanya vitu vije chini , kwani ukichukua puto ukaliwekea upepo litafika chini?
 
Kisa Kuna barafu ndio unaamini ni Antarctica? Alafu haujajibu Antarctica imepakana na nini kwenye Dunia duara
Fuatilia channel za exploration kama NatGeo wanaonesha vzr tu.

Kupakana kivipi? Antarctica ni bara lililozungukwa na bahari.
Labda nchi zilizokaribu na bara hili ni Argentina, Chile, Australia, na New Zealand.
 
Hivi binadamu anaefanya research akaishi Mars ,anashindwa kweli kuishi Antarctica? Hapo tumia akili tu ya kawaida
Yaani aweze kuishi nje na Dunia ila ashindwe kuish duniani?
Mars na Antarctica ipi Iko mbali zaid na jua ?
Kwahy mars Kuna hali kama ya Antarctica sio?
 
Ukirudi jibu tu usiwe na wasi wasi.
Kama hakuna gravity Then unambie ni nn kimeshikilia Dunia Jua na mwezi. Na ni nn kinafanya vitu vidrop[emoji854]
Asante ,wewe ndio uniambie jua limeshikiliwa na nini maana umesema Iko stationary, ila Kwa upande wangu jua lipo kwenye orbit kama ilivo Dunia na mwez
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…