The celebrity
JF-Expert Member
- Jul 9, 2020
- 1,972
- 559
1. Kama unasema Kuna milima na mabonde hiyo ni tambarare Gani unayoongelea? Na Hilo Duara tambarare umelithibitisha vipi? Uliona wapi? Picha yake hata CGI tu, ukifika mwisho wake? Au kama umeambiwa au kusoma unauthibiitisho Gani?Ukinisoma ktk michango yangu mbalimbali katika huu Uzi, mimi ni muumini wa dunia Duara Sahani (Tambarare)
-Kwanza nalithibitisha hilo kwa namna ninavyojifeel kuwamo katika eneo kuuuubwa la tambarare lenye vilima mito maziwa bahari na mabonde na vyte vikiwa ndani ya uduara mkuubwa sana uliozungukwa na barafu.
-Pili nikiliangalia jua na mwezi, vyote naona vinatembea na katka ukubwa sawa nikitofautisha na nyota nyingine au maombo ya vitu vingine vya angani.
-Tatu kitabu cha Biblia ninachokitumia katika imani yangu, nikisoma habari za uumbaji, naiona dunia tambarare iliyofunikwa na kitu mithili ya bakuli liffunike sahani huku viumbe vyote vikiwa ndani yake. huku jua na mwezi vikiwa vimeumbwa kufanya kazi kwa kutembea ili usiku na mchana na majira ya mwaka yapatikane.. ni kwa mujibu wa biblia.
SAYANSI INAPONICHANGANYA NI HAPA.
-Je kuna kitu gani kingine ambacho sayansi inatuambia namna tunavyokiona na tabia zake, si hivyo kilivyo? hapa namaanisha, mimi na wewe tunaliona Jua likitembea kama mwezi lakini Sayansi inasema limesimama.. Je kitu gani kingine kipo kinyume na tunavyokiona au kuhisi kikifanya hivi kumbe sivyo... ?
HII MADA TUITUMIE KUPANUA BONGO ZETU ZAIDI KWA NGUVU ZA FIKRA ZETU WENYEWE.
Umbo la Dunia Duara Mviringo tumefundishwa madarasani, Je Kuhusu Dunia Duara Sahani zinafundishwa wapi? Je Kisichofundishwa ni cha Uongo? Mfano Dini tunazoziamini, zote tumefundishwa je ambao hawajafundishwa mpaka leo wanaishi kwenye dhambi?
Naombeni Mjibu.
Je Dunia inazunguka kwa speed gani? je NASA wamewahi kuonesha video ya Dunia ikiwa katika Speed Hiyo?
2. We umejuaje Jua ndio linamove na sio Dunia ndio inamove? Kama unaona Jua linamove naomba record video leta hapa tuone Jua linamove.
Mfano angalia hii video alafu nambie je hayo majengo yanamove au ni camera ndio inamove? Na kwann?👇👇 hateeb10 pia ajibu hapa.
Chosen Rich Mayu
Your browser is not able to display this video.