Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?


  • Total voters
    710
Twende Beach tukodi drone,...then tuchukue video Kwa kutumia drone ifike mpaka point unayosema kuna curvature.

Je, tutaona hiyo curvature unayosema?

Upo tayari Kwa tafiti hiyo? Au unaogopa?
Hahaha hiii akili ya namna gani,

Kwahiyo akili yako imegoma kabisa kuelewa concept
 
Nimekuuliza nimekudanganya wapi? Hujanambia, flight path always ni curve, na ndio sabab ya ndege ku adjust altitude. Ingekuwa flat kusingekuwa na sabab ya adjustment
Unasema me naingia mitini, wewe nakuuliza maswali hujibu,

Nimekuuliza kama Dunia ni flat Kuna sabab gan ya ndege kuadjust altitude Ili ifate path yake?
 
Sijakosea kwani haiwezekani watu wawili kuwa kwenye gari Moja(dereva na abiria?)
Hapa
Unasema mm nakimbia maswali nambie umejibu swali gan kati ya haya? Alafu nambie mm sijajibu lako lipi?
 
Nliuliza hivi,

Anieleze kupatwa kwa jua ikiambatana na mchoro wa picha au animation ikielezea hatua kwa hatua hadi jua linapatwa ( kwa nadharia ya Flat Earth )
Haya mzigo huo hapo ndugu!
 

Attachments

  • Solar Eclipse.jpg
    4.5 MB · Views: 8
Haya mzigo huo hapo ndugu!
Daaaah😀😀, mwingne huyu hapa yaani Hawa watu hata wao tu wanatofautiana.

Sasa embu tuambie kipindi Jua lipo chini ya hiyo Dunia tambarare kwahy Dunia nzima inakuwa usiku, yaan nchi zote zinakuwa usiku? Au mm ndo sijaelewa mchoro?
 
Hujajibu swali.......👇🏼

Unaweza ukaniambia exactly street/Country ambapo Mkunjo wa Dunia unaanzia?
Mnatupa tabu sana nyinyi, Tunatamani mtoke huko gizani
 

Attachments

  • Screenshot_20240421-012400.png
    586.9 KB · Views: 7
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…