Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Hivi nyota kuonekana usiku hii ni mada mpya au bado inaendelea kuhusu nyota kuto onekana mchana?
Tunaelimishana kuhusu nyota kutoonekana mchana. Wee umekataa mwanga wa jua hauzuii sisi kuziona. Ukasema kuhusu visible range ya jicho na volt za jicho n.k.

Sasa ndo nami nakuuliza ktk anddiko lako la utetezi sijaweza kuona kwanini usiku tunaziona. Maana kama ni visible range au low/high voltage mchana inazuia nisione nyota, kwanini usiku naziona kwa jicho hilihili?

Nisaidie hapo.
 
Suppose a star like our sun is 100 light years away. When you take a sphere with a radius of 100 light
years, the area of that sphere surface is on the order of 1.2 x 10^37 square meters, so the photon flux at that
distance is about 82 million per square meter, or about 82 per square millimeter. Your pupil at night might
be between 10 and 15 square mm, so your eye is taking in 500 to 1000 photons per second from that star a hundred light years away, and focusing them into a little spot on your retina. Various sources (extremely broad documentation and discussion here
Human Visual System as a Double-stitched Single Photon Interference Sensor: A Comparison between Modellistic and Biophysical Tests show that at times, the rods in our eyes can detect single photons, and that, depending on the study, some ones of photons
are reasonable thresholds for the rods (dim light receptors) in our eyes to signal that something has been detected. At 1000-ish photons per second focused to a small patch on the retina, you should have a reasonable chance to see the star 🙂
Tunatoka nje ya mada nahisi ni wakati Wako kuanzisha topic watu wajadili zaidi kwa kina, hatumtendei haki mleta uzi. Photons ni gumu kuelewa kwa level ya chini
 
Mi nilikuwa na hoja kidogo hivi wakati inatokea kupatwa kwa jua pale mbeya walipo weka utalii hivi si ilikuwa giza totoro mpaka kuku wakaanza kuingia ndani.sasa tuanzie hapo pale nyota zilionekana ama vipi?
 
Aisee jamaa unzunguka mbuyu ile mbaya. Hiyo photon moja au zingi wala hazizungumzii kwanini utaona nyota usiku na si mchana. Nilichoona zinachanganua huo uonaji na sio tofauti ya kutoonekana mchana na kuonekana usiku.

Mi nabaki kujua hazionekani mchana maana mwanga wa jua mkali sana.
 
Mi nilikuwa na hoja kidogo hivi wakati inatokea kupatwa kwa jua pale mbeya walipo weka utalii hivi si ilikuwa giza totoro mpaka kuku wakaanza kuingia ndani.sasa tuanzie hapo pale nyota zilionekana ama vipi?
Haikua giza totoro ila mjuvi wa kulichunguza anga angeona vitu mbalimbali ving'aavyo angani zaidi ya jua. Nyota zikiwemo. Zile zinazong'aa sana
 
Mi nilikuwa na hoja kidogo hivi wakati inatokea kupatwa kwa jua pale mbeya walipo weka utalii hivi si ilikuwa giza totoro mpaka kuku wakaanza kuingia ndani.sasa tuanzie hapo pale nyota zilionekana ama vipi?

Sehemu palipo kuwa na giza totoro kamwe haiwezekani kuonekana kwa nyota. Lazima ujuwe kipi kilichopo kati mwezi au dunia? Ni kwa nini giza limetokea?. Kwa kifupi kupatwa kwa jua ni inatokea wakati mwezi unapita kati ya jua na dunia na kufunika jua . Tokeo lake ni kupungua kwa jua hadi kutoonekana tena na kufika kwa giza wakati wa mchana. Mwezi unazuia miale ya jua kufika dunia. Ukikaa kwenye giza totoro ukaangalia Angani utaona mwezi.
Unaweza kuangalia mchoro vizuri. Angalizo hii picture kwa watu wanao amini dunia ni duara.
 
Attachments

  • downloadfile.png
    7.5 KB · Views: 101
HUU NI UCHOCHEZI
 
Baada ya kusoma Uzi wote mpaka hapa. Nimefikia hitimisho kuwa dunia ni duara lililo katika umbo la sahani, chapati au CD.
Sababu zilizonipelekea kufikia hapo ni hizi zifuatazo
1. Ramani ya dunia
Ramani ya dunia kwa ilivyo sasa inaonyesha kuwa mabara yote ya kaskazini yanakutana katika ncha ya kaskazini lakini katika ncha ya kusini hayakutani. Ndo maana hakuna ramani ya dunia inayoonyesha mabara yanakutana kwa upande wa incha ya kusini. Kama ikichorwa kuanzia ncha ya kusin inabidi mabara ya Ulaya ., America ya kaskazini na Asia yagawanyike. Mfano wa ramani ya Umoja wa mataifa ikigeukia ncha ya kusini haiwezi kuonyesha pucha hali si ya dunia

2. Mzunguko wa dunia
Inavyoonekana kwa sasa mzunguko wa dunia katika ncha ya kaskazini ni mfupi kuliko mzunguko wa dunia katika ncha ya kusin. Ndo maana wote wanaosema wameizunguka dunia wamepitia incha ya kaskazin na sio ncha ya kusini. Pia ndo maana njia za ndege na meli zinapita sana katika ncha ya kaskasini kuliko ncha ya kusini
3. Bahari kubwa zote kuwa upande wa kusini wa dunia
Mabara yote yamezungukwa na bahari kubwa nazo ni Pacific, India na Atlantic
 
Ukiwa una quote pot jitahidi kuisoma hata zaidi ya mara moja ili uielewe.....

Nilichoandika hakiegemei upande wowote,lakini nashangaa umerusha shutuma kuhusu mimi kuegemea upande wa dunia iliyo flat,sijui hata kaka unaelewa ni flat ya namna ipi ambayo mtoa mada anamaamisha maana wengi wanaokuja hapa wanakurupuka tu na kufikiri mtoa mada anazungumzia flat ya meza......

Mwenye mawazo mgando ni yupi kati ya anayekubali mambo bila kupewa uthibitisho na yule anayedai uthibitisho?

Umeambiwa dunia ni duara ya tufe,umeambiwa watu wanasafiri kwenda anga za mbali huko,umeambiwa kuna stations huko angani na mengine mengi,huna hata uthibitisho wa kimoja hapo,lakini umekubali yote,anakuja mtu mwingine anadai uthibitisho unamwambia ana mawazo mgando,uko sawa kweli wewe?

Masuala ya kuamini kama wewe unaweza kupaa bila mabawa au chombo kupaa inahusiana nini na jambo hili hapa? unaweza kunionesha mahusiano kati ya ulichokisema na mada hii hapa?
 
Hata mimi kuna kitu najiuliza sipati jibu. Kwenye biblia tunaambiwa Mungu aliumba Dunia na vyote vilivyomo, halafu NASA wanatuambia wagundua sayari ya MARS wanaweza kuishi, kwaiyo hawa NASA wanapingana na Mungu aliyeumba dunia waishi au bibli ilikosewa kuandikwa ilibidi waseme Mungu aliumba ulimwengu na vyote vilivyomo ikiwemo sayari ya Mars.
 
In this world, we've been living with two world outlooks namely Idealism vs Materialism, each side has both opponents and proponents, so you have to understand that, in this world nothing happened independently, i mean everything has its own negative side, e.g, life versus death, right limb versus left limb, and we've materialism versus idealism, no matter how hard you study geography you will never have complete answers and i you find 1 you'd probably face another questions. The only 1 who knows about the secret of this complicating universe is God, I believe universe is measure of our level of thinking. Look into these two outlooks then start asking yourself about it.
 
Nadhani lengo la mtoa mada ni kuwachanganya wasomaji. Nawashangaa wanaoipongeza mada ingawa ni haki yao kutoa maoni yao. Bila shaka hawa ni wale bendera fuata upepo ambao hushabikia hoja halafu ikielemea mwingine nao hubadilika. Maelezo mengi tu ya kisayansi yanathibitika kwa uhalisia. Hata kama unamchukia mzungu, kama maarifa aliyokupa yanadhihirika usiyapinge kwa sababu ya chuki yako. Ni sawa na kukataa chakula na kula takataka. Maarifa yaliyopo duniani leo hii, ya yanayoonekana na ya yasiyoonekana, ya kweli na ya uongo, ni mengi sana. Na kila siku yale yasiyokuwa na majibu yanapata majibu kwa uvumbuzi. Mada hii imejaa upotoshaji wa kiwango cha juu sana ingawa sijui ni kwa lengo gani. Hata hivyo inafikirisha akili ingawa siyo ya kuiamini asilani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…