Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?


  • Total voters
    710
Wewe una uthibitisho gani kama Dunia ni Tufe?!

Sawa let's say tunakubali ni Tufe kweli,.... nimeuliza na narudia tena "Ni mechanism gani inafanya Maji yastick kwenye dunia Tufe?,... ukielezea hiyo mechanism usisahau kuambatanisha na uthibitisho.


Ahsante.
 
Umepewa ushahidi wa dunia tufe umeukataa kwamba ni picha fake za Nasa na wengine wanaokwenda anga za mbali kwamba ni waongo hawajafika huko
Kwa mantiki yako hii ni kwamba tumeshindwa kuthibitisha

Sasa na wewe tuthibitishie ni mechanism gani inatumika kufanya dunia sahani kuelea wakati huo ni mechanism gani inatumika kufanya jua na mwezi kuzunguka juu ya uso wa dunia sahani? Ili sasa tujue ukweli

Usisahau kuambatanisha na ushahidi

Asante
 
Hakuna sehemu nimesema Dunia ni sahani inayoelea,...

So,, sioni sababu ya kuthibitisha kuhusu hilo.

Dunia sio tufe logically and as we observe through our senses,...Kwa kukusaidia chukua mpira wa miguu ambao kimsingi upo shaped hivi 👉🏼 🌍.....then toa upepo kwenye huo mpira,..ukishafanya hivyo Kitakachotokea ndiyo umbo la Dunia sasa...DUNIA IPO SPREAD OUT,...DUNIA IMETANDAZWA, DUNIA NI HORIZONTAL PLANE.
 
Hahh bora ucheke maana hata nikikupa mwaka mzima huu,... hutoweza kuja na majibu na uthibitisho ulioshiba kuhusu kile nilichouliza.
Nlikuuliza swali hukujibu direct badala yake na wewe uliuliza swali juu ya swali langu ( Zingatia swali langu lilikua simple tu wala halikuhitaji maelezo kibao )

Nacheka namna unavyoidhihirisha akili yako jinsi ilivyo samahani kwa hilo kaka, haha
 

Attachments

  • FB_IMG_1716395542269.jpg
    89.9 KB · Views: 10
Nlikuuliza swali hukujibu direct badala yake na wewe uliuliza swali juu ya swali langu ( Zingatia swali langu lilikua simple tu wala halikuhitaji maelezo kibao )

Nacheka namna unavyoidhihirisha akili yako jinsi ilivyo samahani kwa hilo kaka, haha
Kwahiyo unaamini Mimi hoja zangu na ninachokisema kipo influenced na YouTube Videos?

Una safari ndefu ya ukombozi wa fikra ikiwa hivyo ndiyo unavyoamini.
 
Je,.. unachokiamini kina make sense....? Au kwasababu watu wengi wanaamini hivyo na wewe umeamua kufuata Tu?
 
Rudi nyuma, Kwenye mfano ambao amewahi kuutoa Antony kuhusu Dunia inavyoizunguka Jua, Utapata jibu ni kwanini 😎
Dunia inavyozunguka Jua??

unaona sasa unaongea vitu ambavyo havipo?

wewe binafsi ushawahi kuona Dunia ikizunguka Jua,..au umeaminishwa basi ukaamini?
 
Kwa sababu jua lina zunguka dunia
 
What a genius we have here 😁 Kabisa Yani kama ingekua flat nchi zote zingekua usiku au asubuh sio tofauti
 
Amna kitu kama icho kwasababu
Kama dunia ni flat sasa inakuaje nchi moja ni mchana nyingine ni usiku giza totoro
Yani io point moja tu inanguvu
JUA LINA MWANGA MKALI (MKUBWA) KIAS Kwamba, KAMA DUNIA INGEKUA FLAT ALAFU JUA NDO LINAZUNGUKA DUNIA, DUNIA NZIMA INGEKUA EITHER MCHANA AU USIKU.
SABABU JUA MWANGA WAKE MKALI LIKII KAAA KATIKATI, LET'S SAY NI JUA LA SASABA MCHANA, KATI KATI YA ANGA LINGEWEZA MULIKA DUNII NZIMA ATA IWE KUBWA KIAS GANI. SASA UNAPOSEMA NI FLATI NA TUNAONA SAIV TANZANIA NI MCHANA SA SABA AFU MAREKANI NI USIKU SA NNE, SASA INAKUAJE JUA LINASHINDWA KUFIKISHA MWANGA WAKE APO MAREKANI AMBAPO TANZANIA MBAKA MAREKANI (NEW YORK) NI 7,555 MILES
"The radius of the sun, or the distance from the very center to the outer limits, is about 700,000 kilometers (432,000 miles). That distance is about 109 times the size of Earth’s radius. The sun not only has a much larger radius than Earth—it is also much more massive. The sun’s mass is more than 333,000 times that of Earth, and contains about 99.8 percent of all of the mass in the entire solar system!"
Hayo ni maneno nilio copy kutoka google our geography with astrologists
Kwa kiswahili ni kwamba jua nikubwa mara 109 kuliko dunia. na umbali wa kutoka kwenye jua mbaka dunian I ni 93miles (150million kilometers), mwanga wa jua unasafiri mbaka dunian kwa dakika 9. so umbali huo
Ni mdogo Sana kwa jua kwamba kwa ukubwa wake lingemulika dunia nzima ikawa mchana kama ingekua dunia ni flat. Kwamba jua ni dgo hata africa apa apa tumetofautina masaa mengi, nchi mbaka nchi, jua lime shinda ku supply mwanga kwenye ardhi ndogo ivo? No. mfano Accra Ghana ipo masaa matatu nyuma ya tanzania dar es salaam, kama saivi ni sa 2 usiku dar, Ghana ni sa 11 jion so Ghana kuna jua bado while tanzania ni giza.
Hata kama dunia sio sphere ni flat lazma dunia ndo inayo zunguka piga ua galagaza
PLANET EARTH IS SPHERE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…