Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?


  • Total voters
    710
Another point concerning time zones, the sun, and Earth: If the sun was a “spotlight” (very directionally located so that light only shines on a specific location) and the world was flat, we would see the sun even if it didn’t shine on top of us (as you can see in the drawing below). Similarly, you can see the light coming out of a spotlight on a stage in the theater, even though you—the crowd—are sitting in the dark. The only way to create two distinctly separate time zones, where there is complete darkness in one while there’s light in the other, is if the world is spherical.
Kwamba kama dunia ingekua flat Ata kama jua ndo linazunguka
Nchi zote tungekua tunaliona jua Ata kwanbali mfano tungesema jua saiv lile lina mulika marekani tunaliona lipo nchi nyingine kama ukiwa kwenye banda la kuangalia movie(movie thietre) Hua waigizaji wanakua wanapigwa na spotlight mwanga unawamulika wao tu Lakin na sis tupo gizani ila tunaona Kua waigizaji wao wanamulikwa na sis hatumulikwai ila tunaona mwanga
Vivyo HIVYO
Kama dunia ingekua flat Ata kama tanzania ni usiku marekani mchana sababu jua lipo marekani kutokana na mzunguko wake then tanzania tungekua tunaliona Ata kwa mbali Kua jua lile lipo lina lenga marekani
So haiwezekan I kama dunia ni flat alafu marekani no usiku tanzania mchana na marekani hawalioni jua hata kwa mbali Zaid ya mwezi
 
It's quite crazy saying it's flat, nazani Inabidi baadhi ya watu wa rudi shule 😁
Labda waseme Kua dunia sio duara Lakin pia sio flat
Hata kama Kuna milima na mabonde bado tungeluona jua Ata kama lina mukika marekani sababu jua lipo mbali Sana 159million miles
 
Hata kama jua ndo linalozunguka jua lina mwanga mkali kias kwamba dunia nzima inaweza funikwa na mwanga wake kwa mara moja sasa kama ni flat unadhani jua ni dogo ndo mana sehem nyingine ni giza totoro na nyingine ni mchana
Sio kweli jua halina ukubwa huo dunia ni kubwa kuliko jua na jua ndio lina zunguka dunia..Dunia ingekuwa ina zunguka tunge hisi au tungeona kwa kuwa jua lina zunguka dunia tuna liona kutoka point A kwenda point B
 
Sio kweli jua halina ukubwa huo dunia ni kubwa kuliko jua na jua ndio lina zunguka dunia..Dunia ingekuwa ina zunguka tunge hisi au tungeona kwa kuwa jua lina zunguka dunia tuna liona kutoka point A kwenda point

Sio kweli jua halina ukubwa huo dunia ni kubwa kuliko jua na jua ndio lina zunguka dunia..Dunia ingekuwa ina zunguka tunge hisi au tungeona kwa kuwa jua lina zunguka dunia tuna liona kutoka point A kwenda point B
Brother kwamba Unataka kusema dunia ni kubwa kuliko jua😁😁 Acha basi
Alafu unapo Sema ndo mana tunaona jua lina move from point A to B sasa hatakama jua ni dogo kias gani kwa jinsi lilivyo mbali Ata usiku tungekua tunaliona japo linamulika nchi nyingine Lakin lingekua linaonekana
Hata kama marekani ni mbali sana (7,555miles) tungekua tunaona jua lile lipo marekani
 
Ndiyo ulivyodanganywa hivyo?
Ni swala la common sense 😁Ata mtoto ange elewa
Usiwe mbishi bila research uo utakua ni,,,,,,,
Kwa akili yako ya kawaida kabisa unazani jua lipo mbali au karibu? Na dunia
Kama naww unaamini lipo mbali then unambie
Kama mnavo Sema dunia ni tambarare let's say Hua lipo tanzania (Africa) ndo mchana afu America marekani mda huo huo no usiku
Embu tetea io point ni kuelewe
Ata kama dunia kubwa kias gani kwa umbali lililopo jua then tungekua tunaliona japo kwa mbali
Em elezea ww naona kama una point au ndo wale wakiambiwa nao wanakata minaongea na point na ww usilete ubish kwa maneno elezea
Kwann tu napata mchana na usiku na ikiwa usiku jua halionekani kabisa Africa Lakin marekani linaonekana
 
Sio kweli jua halina ukubwa huo dunia ni kubwa kuliko jua na jua ndio lina zunguka dunia..Dunia ingekuwa ina zunguka tunge hisi au tungeona kwa kuwa jua lina zunguka dunia tuna liona kutoka point A kwenda point B
Mim brother Nina ombi moja tu
Niambie jua lipo mbali na dunia au lipo karibu
Swali ilo tu
Na kutokana na research zetu flat earth society mna Dhani jua lipo mbali kias gani kama kilometers ngapi?
Unijibu ilo tu kila mtu aje na fact zake
Mm nimesema lipo 150 million kilometers wew je?
 
N
Dunia inavyozunguka Jua??

unaona sasa unaongea vitu ambavyo havipo?

wewe binafsi ushawahi kuona Dunia ikizunguka Jua,..au umeaminishwa basi ukaamini?
mekwambia rudi kwenye ule mfano unaoelezea hili nliloandika, Mbona unakaza kichwa
 
Jua ni kama vile ndege au gari likitoka Point kwenda B hili ulione mpaka liludi
 
Kwanza sijui jua lipo umbali gani na dunia lakini sio mbali sana na dunia maana tuliona
 
kwani wewe ukiwasha Taa ya nje ya Nyumba yako itaweza kumulika Afrika nzima?
 
Nadhani ni kwamba sijaelezea vile ambavyo wewe unataka,..
"hiyo picha inaonyesha kwamba maji yapo level (flat) kama ilivyo kanuni yake."


Sasa hapo jibu liko wapi ndugu ?

Kule mbele kuna mashua kama inazamia hivi, Hivyo nlitaka kama unaweza kunipatia maelezo ya jumla kuhusu tukio linavyoonekana,

Shida yako unachukulia maswali tunayokuuliza kama league
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…