Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?


  • Total voters
    710
Hivi wanaoamini dunia ni flat Kuna mtafiti wao hata mmoja alishawahi kufanya tafiti za Kisayansi na au kufika anga za juu? Au pia kuwa na kituo maalum cha utafiti wa flat earth
Ni nini maana ya utafiti?
 
chai..
 
yes,. umetoa mfano wa kwenda Bagamoyo hapo... mfano ambao unakwepa hoja za msingi.

Umesahau kwamba vitu vya kuthibitisha vipo vitatu :-
1. Dunia ni flat
2. Stationary( Haizunguki)
3. Dunia haijulikani mwisho wake...
1.Thibitisha Dunia ni Flat
2.Thibitisha Dunia haizunguki
 
Logic ya swali lako ni nini?

au ngoja niiweke hivi....Swali lako linahusiana vipi na mada husika?
Acha kuruka ruka! Jibu swal
Logic logic nini? Wewe ulikataa uwepo wa gravitation ambayo ndiyo inaweza kujibu hilo swali tunaomba utuletee sababu Kama gravitation haipo
 
Sikio la kufa, halisikia dawa.
Mnapoteza muda.

Ni sawa na kujaribu kumfundisha kipofu wa kuzaliwa, utofauti wa rangi.
 
1.Thibitisha Dunia ni Flat
2.Thibitisha Dunia haizunguki
1. Dunia ni flat kama unavyoiona.

2. Dunia haizunguki, kama unavyoiona na kuihisi.


Kama unataka kubishia uhalisia,...prove ni tufe linalozunguka bila kuleta hadithi nyiiingi.
 
Acha kuruka ruka! Jibu swal
Logic logic nini? Wewe ulikataa uwepo wa gravitation ambayo ndiyo inaweza kujibu hilo swali tunaomba utuletee sababu Kama gravitation haipo
Kwamba uwepo wa gravitation ndiyo unaweza kujibu swali gani?
 
Sikio la kufa, halisikia dawa.
Mnapoteza muda.

Ni sawa na kujaribu kumfundisha kipofu wa kuzaliwa, utofauti wa rangi.
Sure,.. hivyo ndiyo watu wa imaginary dunia tufe linalozunguka walivyo...

Ukiwaambia wathibitishe hawawezi ni hadithi tu.
 
Yani Africa tunarudi kule wengine walikotoka karne nyingi zilizopita. Suala la umbo la dunia sio hoja tena siku hizi, tunaona eclipse zinazotokea na vile kivuli cha dunia kinavyokuwa, sun rise na sun set, ships visibility , picha zinazochukuliwa kutoka outer space etc. Kulikoni kubishana na well established facts, ni vizuri hata tutafiti njia za kupata mlo kamili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…