Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?


  • Total voters
    710
Hili sio Jibu la swali Uliloulizwa mkuu🤣🤣
 
Hili sio Jibu la swali Uliloulizwa mkuu🤣🤣
Sijataka kuongelea railways kwasababu sio field yangu! Yeye anasema rail zinatandikwa na ziko flat na hajawahi kuona design za reli zinavyofanyika ndo mwenye matatizo , siku izi hii elimu ipo wazi akafuatilie tu mtandaoni jinsi Engineers wanadesign rim za reli halafu aone zinavyofanyika ndo aongee tena, mbona haiitaji hata kutumia nguvu kubwa?
Wakuu vitu viko very complex, we often consider even tiny details a normal person wouldn't even know they exist. Mtu akiona tu anakwambia hii imenyooka
 
Sawa, mbona hujibu swali la msingi? Nimekuuliza hivi......Unazungumzia Curvature ukiambiwa uthibitishe the exact point ward/street ambapo Dunia inaanza ku curve utaweza?
 
Bado hujathibitisha kuhusu curvature,.....lete uthibitisho kaka hapo umeelezea nadharia tu.

NB: Ukishindwa kuthibitisha curvature of the earth,.hiyo maana yake utakua umethibitisha Dunia sio tufe,.
 
Kwahiyo railway lines zinakua designed na zinatandikwa kwa kuzingatia curvature?

Curvature doesn't exist and that's why railway lines are laid down on earth without taking into consideration the imaginary curve of the earth....Labda utusaidie ni mechanism gani inatumika ku flatten railway lines kwenye dunia tufe kwa kuzingatia kwamba Distance toka DSM - Kigoma ipo affected na curvature kama unavyoamini.
 
Sawa, mbona hujibu swali la msingi? Nimekuuliza hivi......Unazungumzia Curvature ukiambiwa uthibitishe the exact point ward/street ambapo Dunia inaanza ku curve utaweza?
Noshakujibu, soma kwa ufahamu utaelewa nilichoandika. Comprehensive reading was once your problem Mr?
 
Nimeshakujibu pia, nenda kaangalie jinsi reli zinavyokuwa designed halafu uje tena. Kwanini unapenda kuongea kitu ambacho hauna ufahamu nacho???
 
Maliza iyo pitia hii. Hii ilikuwa ni project kabisa ya kujenga railway network Russia
Geodetic Survey:High-speed rail service in the Russian Federation

Hiyo ilikuwa project ya kujenga reli, about 7000Km in Russia, hapo walikuwa wanafanya geodetic survey. I hope unaelewa nini maana ya geodetic survey.

Source
Nikolay Kanashin1
1St. Petersburg State University of Railway Transport of Emperor Alexander I, 9 Moskovsky pr.,
190031, St. Petersburg, Russia
 
Nimepitia izo research na nitakujibu.
Reli haitandikwi straight kama kichwa chako kinavyofikiria, kunakuwa na rims tofauti tofauti kisha zote zinaunganishwa.
Inamana kichwa chako kilishindwa hata kujiuliza ni kwa vipi reli zinapitishwa sehemu zenye mabonde ama muinuko? Acha kusumbua watu nenda kasome uondoe mavi kichwani.
By the way nimekupa google mail, sitaki kuendelea kujaza matext yasiokuwa na msingi humu. Weka link tufanye live, unamuda wa kuandika text halafu huna muda wa kufaya meeting uko serious mzee?
 
Sasa unafananisha muinuko na mabonde na curvature of the earth? Hivyo ni vitu tofauti kabisa,........kiuhalisia ni kwamba kwenye engineering ya railway lines sehemu yenye bonde huwa inajengwa (elevated )ili kuhakikisha kwamba inakua level kwa lengo la kutandika reli kwenye eneo husika.

Kuweka mambo simple ni kwamba:-
1. Reli haiwekwi sehemu yenye muinuko mkali.
2. Reli haijengwi sehemu yenye bonde kali (Atleast sehemu yenye bonde la wastani ambalo hilo bonde linaweza kuwa elevated kuifanya reli itandikwe horizontally kwenye eneo husika.

Sasa unapaswa kufahamu kwamba kama curvature kweli ina exist,.hakuna namna utaweza kukwepa kujenga railway lines kwenye bonde na muinuko mkali as a result of earth's curve!.........so wewe wapi umeona treni ikipita kwenye bonde na muinuko mkali kufuata mkunjo wa Dunia tufe 🌎, Linalozunguka?

Lete video inayoonyesha Treni ikipanda muinuko (mkunjo) mkali wa Dunia tufe.
 
Bado haithibitishi uwepo wa curvature,.
 
Acha blah blah, pitia izo documents nilizokutumia. Nimekupa mfano na mfano wangu haujafananisha mabonde na curvature ya dunia, wewe unahisi it is impossible rim za reli kupinda unaziona ziko straight nakuuliza kwenye mtetemko zinasukwa vipi? Ama unahisi bado zinanyooshwa pia.

Pitia izo utaona design consideration za rim za reli, kufikiria ni mvivu basi hata kusoma pia?
 
Bado haithibitishi uwepo wa curvature,.
Soma kwa ufahamu usikaze kichwa, tafuta maana ya geodetic survey halafu ujiulize kwanini huwa wanafanya hiyo wakati wa kudesign reli.

Wewe hujawahi kudesign rim za reli, nakuonesha wenzako wanaodesign jinsi wanavyofanya unaropoka kichwa chako kina shida gani???? Hivi unaelewa point ya kufanya geodetic survey!?
Watu weusi ni wavivu kusoma. Knowledge huna basi pitia hapo uelewe hutaki unabaki na mavi yako kichwani.
Pitia hizo achana na blah blah mdogo angu
 
Nakurahisishia, nenda page 232. Uone jinsi reli zinaweza kucurve kulingana na enwo husika, Ukimaliza soma sasa iyo research ya kutoka st Petersburg walivyokuwa wanadesign hizo rims alizingatia nn
 
Ku Kumbe bado dunian kuna watu wasiokua na akili
 
Hujajibu,..jibu basi sasa hivi ni Nchi/kata/mtaa gani Curvature of the earth inapoanzia?
Kuna wakati unatakiwa uwe serious, sawa umeamua kubishana lakn tumia logic basi Ili mjadala uwe ma mantiki.

Sasa hapo unauliza akuoneshe curvature inapoanzia unaona unamake sense kweli? Mfano wewe nikikuuliza, kwenye Mpira(⚽) unioneshe curvature inapoanzia, utaweza?

Every point kwenye huo Mpira ni curvature. Ili uweze kuelezea curvature hiyo lazima uwe na point mbili of reference.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…